Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nashkuru mungu usaili ulikwenda Vizuri sana kwa upande wangu nilijibu clearly maswali yote na nilistuka na kufurahi zaidi pale baada ya kumaliza msimamizi mkuu alivyonambia umechangamka Sana hajamaliza akaniambia tena you have a lots of confindence, Mungu ni mwema Sana,msaili alitokea kunikubali nilikuwa mcheshi nimejibu maswali bila kufukiria na nilikuwa nikijibu huku nikitabasamu
 
Utajiskiaje jina lako lisipoonekana?
 
je,utajisikiaje jina lako lisipoonekana??
na matokeo yakitoka ulete mrejesho,

na kila mtu jamani alete mrejesho uliosahihi?? tujuane wale watakaoenda kwenye mafundisho.
 
Tandahimba wamoto
Sasa ulivokua unajieleza maelezo meeeengi. Hii list ya majina ya watakaolamba asali inatolewa ngazi ya Kata, kisha yatapelekwa Wilayani, kisha yatakusanywa Mkoani then kutoka hapo ndipo yatatumwa NBS.
NBS hawana muda tena wa kuanza vetting.
 
Bad luck nipo Tanga City council,tupo pamoja kiongozi
napapendaa sanaa tanga maana sijawahi fika ,nataka huko nije kula demu kimasihara maana huko nasikia mambo si mambo pisi kali za kutoshaaa na wajuzi wa mambo nikipata pesa nitakuja kujivinjari kidogo huko aisee nione dunia ya huko inakwendaje.
 
Ukienda haurudi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…