Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ukweli mtupu huuu
 
Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Tatizo majina yanachezeshwa sana 😊😊, watendaji waliobandika majina baada tuu ya usaili kongole Sana kwao , Ila wale ambao yaliombwa wilayani Kwanza ndo kasheshe
 
Basi sawa jamaa yangu.
 
We kiazi maraia wengi tuu wamebadilishwa , akiwemo mdogo wangu , tena yeye aliulizwa kabisa na maswali ya makarani , na jina likatoka ukarani tofauti na maudhui aliyoomba
Wewe mwache apige soga hewa hapa akijifanya mjuaji kumbe hajui chochote. Yeye atabaki kupiga dua na ramli huku huko Katani watu wanapeana nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…