Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Vita ni kubwa baadhi ya Wilaya wanachelewesha majina Sababu ikiwa ni mvutano ya kuchomeka watu. Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi, meya, afisa elimu n.k kila mmoja ana wadau wake anahitaji wawemo kwenye mkeka. Ngumu zaidi watu hao waliomba usimamizi wa maudhui kwa kuamini kuwa wanakoneksheni za maana hawatokosa, lakini hali imekuwa tofauti nafasi hizo n chache mnoo zimebanwa na walimu wakuu kutokana na maelekezo ya Sensa.
Kinachofanyika ni kupindua meza tu, kuwahamisha hao wenye koneksheni hizo kutoka maudhui kwenda karani na hapo ndo kutokuelewana kunakuwepo maana kwenye ukarani wapo walioomba wa kutosha kabisa, hapahitajiki kuongeza watu mlowashusha daraja.

NB: Tuishi na watu vizuri, Sensa haikuwa na intavyuuuu....[emoji3][emoji3][emoji23]
Ukweli mtupu huuu
 
Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Tatizo majina yanachezeshwa sana 😊😊, watendaji waliobandika majina baada tuu ya usaili kongole Sana kwao , Ila wale ambao yaliombwa wilayani Kwanza ndo kasheshe
 
Usichukulie kila kitu siriaz bro hizo stress umeziona wapi au ni muendelezo wa ramli ? kwa taarifa yako shemeji kanihakikishia nafasi hapa home kaniambia mimi nikae tu nisiwe na stress mpaka mambo yangu yatakapo kaa sawa kwa hiyo kila kitu free sina stress yeyote nikichoka kushinda mtandaoni nahamia sebuleni kucheki muvi nikisubiri cha mchana na simu kujaa moto nicheze gemu na kuperuzi Jf.
Basi sawa jamaa yangu.
 
We kiazi maraia wengi tuu wamebadilishwa , akiwemo mdogo wangu , tena yeye aliulizwa kabisa na maswali ya makarani , na jina likatoka ukarani tofauti na maudhui aliyoomba
Wewe mwache apige soga hewa hapa akijifanya mjuaji kumbe hajui chochote. Yeye atabaki kupiga dua na ramli huku huko Katani watu wanapeana nafasi.
 
Back
Top Bottom