Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Niwashamba sana hawajawahi kuwa na ustarabu ndio maana maendeleo yao huja uzeeni hawana utofauti na mipolisi sijui ni laana.
Ni haohao walimu ndio waliokuwezesha mpaka leo umeweza ku-type huu utumbo uliouandika hapa. Bila mwalimu ungekuwa kwenye kiza kinene. Waheshimu sana hawa.
 
Huwezi ukawa unakula mchana ukategemea utatoboa utakuwa tajiri


Ila Dah majobless misemo yetu bwana [emoji1787]watupe tu hio kazi maana nasikia unapata milo miwili heavy weight
 
Kwa mtazamo wangu ninavyo ona watu wote mnaosema kwamba kazi ya sensa wapewe watumishi wa serikari kwa kigezo eti itakuwa rahisi kuwapata sio sahihi kwa sababu zifutazo.

1.Kazi ya sensa safari hii inatumia vifaa vya kielectronic kwa hiyo sio walimu au watumishi wote wenye uwezo wa kutumia vifaa hivyo ipasavyo wapo vijana wengi walio maliza vyuo wanauwezo huo pia, kwanza nina ushahidi wa baadhi ya watumishi wa serikali walipo sikia maswala ya electrictonic, na interview waka kata tamaa hawakuomba.

2.Kwenye ile fomu iliyo kuwa ikijazwa kuna sehemu yalihitajika majina ya wadhamini wawili, namba zao za simu, Email na fingerprint. Pia muhuli na signature ya mtendaji wa kijiji ilihitajika, hawa watu wanatosha sana kama wakitaka kukutafuta, ingawa kwa taarifa za muhusika mkuu ni rahisi sana kukupata kama wakikuhitaji.

Kikubwa hapa tusubilie majina yatoke jamani, then tukanyooshane kwenye interview, maana kwa mujibu wa Msimamizi mkuu wa sensa mama Anna Makinda alisema watakao simamia ni wakufunzi(lecturers) kutoka vyuoni, tuombee yale mambo ya anwani ya makazi yasijirudie.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya anuani ya makazi yalikuwaje? Maana unalosema linaweza likawa kweli
 
Orodha ya wanajamii forums waliomba ajira za sensa.
1.
2.
3.
..

Kama umeomba ajira ya sensa andika Jina lako hapo niliwasilishe sehemu husika.
Usijesema hukupata ajira na fursa hii hapa.

NB: lazima uwe na kadi ya chama pendwa na mwana UVCCM
 
sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Hizi taarifa ramsi kweli?
Majina yakitoka kunatakiwa kuwe na interview kata alafu ndio semina siku 20.
Alafu mafunzo siku 5
Kuchukua vifaa na kuingia mzigoni.
Sasa sijui wewe umetoa wapi maana kalenda ile haisemi hivi
 
Walimu na watumishi wengine wanaogopa watanyooshwa kwenye interview na fresh graduates [emoji3][emoji1787] ndio maana wanataka wao tu .

Na graduates hawana kazi walivyokamia kumuangusha kwenye usaili inahitaji jitihada kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…