Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ngazi ya wilaya si ndiyo halmashauri hiyo?
 
Na je kama kamati ya wilayani itajuaje kama hawa walifanya postkodi hawa hawajafanya na walifanya sensa 2012 au kamati ya postkodi ndiyo kamati ya sensa
 
We jamaa ukipewa nchi wewe utawala wako utaupeleka kiustigness sana siku 21 unataka kuzieliminate zibaki siku 7 umeona majobless tukikaa siku 21 na posho ya 50k everyday tutafaidi sana!!
 
We jamaa ukipewa nchi wewe utawala wako utaupeleka kiustigness sana siku 21 unataka kuzieliminate zibaki siku 7 umeona majobless tukikaa siku 21 na posho ya 50k everyday tutafaidi sana!!
sana yani hii issue Angekuwepo Magu sijui ingekuwaje walai
 
kuna watu wanaonekana kwa mtendaji na vibaasha vya khaki sijajuwa kunani uko picha sina
 
Inasikitisha sana na tutasikia mengi tuambie hizi ni taarifa ni za ndani au za nje?
 
kuna watu wanaonekana kwa mtendaji na vibaasha vya khaki sijajuwa kunani uko picha sina
Ni makada watiifu. Wanapeleka barua za utambulisho, michango ya chama na ya mwenge.

Tarehe ni zilezile hazijabadilika 29±3
 
Kama itakua hivyo basi kazi itakua ngumu kichizi.

Ile kutoa tu ushirikiano kwa sensa ya 2012 ilikua mbinde baadhi ya kaya ndo uje na hii ya kupigwa picha + dole gumba aisee watu watatoana ngeu hapo.
 
Na je kama kamati ya wilayani itajuaje kama hawa walifanya postkodi hawa hawajafanya na walifanya sensa 2012 au kamati ya postkodi ndiyo kamati ya sensa
Yeah ipo ivyo postkodi ni iyo iyo kamati itakua kwnye sensa maana kazi zipo similar.
Ila mzee mwenye alifanya sensa 2012 itakua na miaka mingapi? Hahahaha akafanye kazi zingine bhana
 
sana yani hii issue Angekuwepo Magu sijui ingekuwaje walai
Angekubali trust me,kazi hamna na yeye anategemea vijana plus uchaguzi unakuja kuna factor nyingi za kisiasa
Alafu magu ni alikua mwanadamu tu anaweza shawishika vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…