Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna fomu yyte unayoacha kwa mtendajiJamani vipi huko kwenu watendaji wanabaki na copy ya form maana huyu wangu ananiambia hajapewa maelezo hayo??
Kwahiyo nimpe yangu hapa akaifungie mandanzi hahahhahakuna cha kubaki na fomu,,makaratasi yao unawarudishia yote wakae nayo
Ndio tumeziacha pale, og au hata copyJamani vipi huko kwenu watendaji wanabaki na copy ya form maana huyu wangu ananiambia hajapewa maelezo hayo??
Soma tangazo vzr kule chini chini kuamzia pale MUHIMUhakuna fomu yyte unayoacha kwa mtendaji
Ngoja nikampe copy asiniletee siasaNdio tumeziacha pale, og au hata copy
Copy inabakiJamani vipi huko kwenu watendaji wanabaki na copy ya form maana huyu wangu ananiambia hajapewa maelezo hayo??
Hivi passport ile tunayotakiwa kuweka inatakiwa kuwa na size gani?Copy inabaki
Ndo utajuta na ukome kuweka wadhamini wa mbali utafikiri hapo unapoishi hakuna watu! Hatahivyo bado hujachelewa lakini hebu fanya hivi>>> mtumie fomu yako pdf huyo mdhamini wako akaprint kisha ajaze kunapomhusu kisha naye akutumie tena pdf uprint kisha kazi iendelee!!hawa watu bana, wanataka dole gumba wakati mdhamini yupo kilometer 1000 uko
Refresh hapoUkishatuma unapata ujumbe gani? Maana kwangu inaandika "your file couldn't be accessed"
Kuna namna yakuminimize page zinabki tatuPage gani tunaupload au zote
12500Hivi sensa ya mwaka 2012 , malipo yalikuwa ni kiasi gani , kwa kila posti
Angalia kwenye email kama wamekutumia pascode ingia kwenye account utaweza idownload tenanawezaje kuipata tena ile form namba 1 nilikuwa bado sija print baada ya kumaliza kujaza sioni sehem ya kuipata tena
Thanks mkuu nimepataAngalia kwenye email kama wamekutumia pascode ingia kwenye account utaweza idownload tena