Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Jamani vipi huko kwenu watendaji wanabaki na copy ya form maana huyu wangu ananiambia hajapewa maelezo hayo??
 
ANGALIA HAPO MUHIMU
Screenshot_20220507-163350.jpg
 
hawa watu bana, wanataka dole gumba wakati mdhamini yupo kilometer 1000 uko
Ndo utajuta na ukome kuweka wadhamini wa mbali utafikiri hapo unapoishi hakuna watu! Hatahivyo bado hujachelewa lakini hebu fanya hivi>>> mtumie fomu yako pdf huyo mdhamini wako akaprint kisha ajaze kunapomhusu kisha naye akutumie tena pdf uprint kisha kazi iendelee!!
 
Na shida kubwa moja sana. Naitaji ufafanuzi hapa ; Mie nimepanga kutafuta wilaya yenye maeneo ya vijijini , maana mijini wengi wataomba then wata chujwa kwa kasi ya 5G , so hivi hapa , nikiomba MOSHI VIJIJINI DC , Maana nipo MOSHI MJINI ntapata kweli ? , kuhusu kata mpaka shehiya hiyo ntazurura kwenye ofisi za serikali za vijiji. Then nta process ,
 
nawezaje kuipata tena ile form namba 1 nilikuwa bado sija print baada ya kumaliza kujaza sioni sehem ya kuipata tena
 
nawezaje kuipata tena ile form namba 1 nilikuwa bado sija print baada ya kumaliza kujaza sioni sehem ya kuipata tena
Angalia kwenye email kama wamekutumia pascode ingia kwenye account utaweza idownload tena
 
Back
Top Bottom