Mdudubitehunter
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 309
- 538
Nafikiri hivyo pia broNadhani Form six kama alipitia JKT Kwa kujitolea anaweza tumia cha From4 ila kama alipitia Mujibu WA sheria basi huyo asahau hizi ajira ni Kwa form4 Tu hasa waliopitia JKT Kwa kujitolea
Yaani labda uwe na mbanga laa sivyo hapa pagumu form6Nafikiri hivyo pia bro
Hamna sehem wameandika cheti Cha JKT Cha Mujibu Wa Sheria au Kwa kujitolea.Nadhani Form six kama alipitia JKT Kwa kujitolea anaweza tumia cha From4 ila kama alipitia Mujibu WA sheria basi huyo asahau hizi ajira ni Kwa form4 Tu hasa waliopitia JKT Kwa kujitolea
Kuna majira na majira yake, Kuna bahati ya mtu katika wakati sahihi.Siye wazoefu tushaomba Sana hizi nafas tunawachora
Form six anatuma maombi kama form4 maana Hana certificate, diploma Wala degree.Sasa Ka Mkubwa Form Six atawekwaje kundi la Shahada??. Shahada ni Degree Mzee.
Huyo 6 aliyesoma short course na kama
imeorodheshwa kwenye zile fani zilizotolewa basi ni sahihi ni fani hyo.
Sawa mkuuForm six anatuma maombi kama form4 maana Hana certificate, diploma Wala degree.
Nampa siku 7 kama hajanipelekaSema kwel we jamaa kiherehere yaan toka achukue hela yako uyo mtu wako hamna kozi imefanyika we kila mahali ni kumkandia tu wakati bado hawajaita watu, Apo utawaharibia ata wengine walioenda kwake kumuomba japo simjui..
Mzee utaratibu kidato cha nne wanalenga hawa WA kujitolea waliopo makambini na wale waliorudi na Diploma Degree ni wachache waliojitolea wengi ni Mujibu WA sheria.Hamna sehem wameandika cheti Cha JKT Cha Mujibu Wa Sheria au Kwa kujitolea.
Ameandika uwe na cheti Cha JKT basii hizo nyingine ni siasa zako
Mtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.
Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.
Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)
Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.
Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.

View attachment 2439327
Mkuu ukirudi kwenye barua paleMtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.
Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.
Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)
Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.
Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
View attachment 2439327
Polisi hawajaweka degree ya education (physics & chemistry), wanahitaji mtu aliyesoma Bachelor of chemistry.Jamani eee kuna binti kaniuliza Ana miaka 25
Ana degree ya education(physics and chemistry) wanaruhusiwa kuomba
Note
Anafundisha private mshahara wake ni laki sita
Kwa mshahara wake huo utazidi wa polisi
Na hii ya transcripts umetoa wap?...Mtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.
Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.
Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)
Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.
Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
View attachment 2439327
Polisi hawajaweka degree ya education (physics & chemistry), wanahitaji mtu aliyesoma Bachelor of chemistry.Jamani eee kuna binti kaniuliza Ana miaka 25
Ana degree ya education(physics and chemistry) wanaruhusiwa kuomba
Note
Anafundisha private mshahara wake ni laki sita
Kwa mshahara wake huo utazidi wa polisi
Sawa tuma kiongozi.Mkuu ukirudi kwenye barua pale
Kipengele ( F),Sifa za waombaji
Wanahitaji hyo fomu ya daktari.
PoaSawa tuma kiongozi.
Sawa usiweke transcript, achana nayo.Na hii ya transcripts umetoa wap?...
Umeambiwa uambatanishe vyeti vya taalama tu. Transcripts ni cheti cha taaluma?...