Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nadhani Form six kama alipitia JKT Kwa kujitolea anaweza tumia cha From4 ila kama alipitia Mujibu WA sheria basi huyo asahau hizi ajira ni Kwa form4 Tu hasa waliopitia JKT Kwa kujitolea
Hamna sehem wameandika cheti Cha JKT Cha Mujibu Wa Sheria au Kwa kujitolea.

Ameandika uwe na cheti Cha JKT basii hizo nyingine ni siasa zako
 
Mtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.

Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.

Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)

Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.

Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
IMG-20221206-WA0001.jpg
 
Sema kwel we jamaa kiherehere yaan toka achukue hela yako uyo mtu wako hamna kozi imefanyika we kila mahali ni kumkandia tu wakati bado hawajaita watu, Apo utawaharibia ata wengine walioenda kwake kumuomba japo simjui..
Nampa siku 7 kama hajanipeleka
MSATA
Tiss
BOT
Tanapa
Tpdc
Nitaweka hapa utambulisho wake full with evidence za miamala yote kwa kweli sina subira kwenye HAKI YANGU
 
Hamna sehem wameandika cheti Cha JKT Cha Mujibu Wa Sheria au Kwa kujitolea.

Ameandika uwe na cheti Cha JKT basii hizo nyingine ni siasa zako
Mzee utaratibu kidato cha nne wanalenga hawa WA kujitolea waliopo makambini na wale waliorudi na Diploma Degree ni wachache waliojitolea wengi ni Mujibu WA sheria.

Labda ni kujaribu Tu Bahati ila kiutaratibu ipo hivyo
 
Jamani eee kuna binti kaniuliza Ana miaka 25
Ana degree ya education(physics and chemistry) wanaruhusiwa kuomba

Note
Anafundisha private mshahara wake ni laki sita

Kwa mshahara wake huo utazidi wa polisi
 
Mtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.

Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.

Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)

Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.

Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
 
Mtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.

Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.

Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)

Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.

Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
View attachment 2439327

Mkuu ukirudi kwenye barua pale

Kipengele ( F),Sifa za waombaji

Wanahitaji hyo fomu ya daktari.
 
Jamani eee kuna binti kaniuliza Ana miaka 25
Ana degree ya education(physics and chemistry) wanaruhusiwa kuomba

Note
Anafundisha private mshahara wake ni laki sita

Kwa mshahara wake huo utazidi wa polisi
Polisi hawajaweka degree ya education (physics & chemistry), wanahitaji mtu aliyesoma Bachelor of chemistry.

Mwambie asome kiambatanisho A Kuna kozi zote, so mwambie asitume tu maombi au alitaka kujaribu sawa atume.
 
Mtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.

Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.

Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)

Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.

Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
View attachment 2439327
Na hii ya transcripts umetoa wap?...
Umeambiwa uambatanishe vyeti vya taalama tu. Transcripts ni cheti cha taaluma?...
 
Back
Top Bottom