Mtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.
Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.
Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)
Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.
Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
View attachment 2439327