Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Military intelligence ni pana zaidi ya ulivyoielezea mkuu hapo umeeleza kama 5% tu ya hicho kitengo
 
Hapo umekuja kwenye point sasa imekuwa simple nilichokuwa sitaki kukisema hasa Hapo kwenye kukaimu kwa KG (naomba tuishia hapa nisiende mbele zaidi jamaa wa ikulu asije kusema mm ni kiherehere)
Sema Kuna kitu huwa sielew kinanichanganya. Ki protocol mkuu wa majesh (CDF) anatakiwa kumpigia saluti hata mkuu wa wilaya. Sasa Swali langu ni je inapotokea na inatokea mara nyingi sana wakuu wa wilaya na mikoa hasa ya mipakani wanakuaga ni makanali na ma major general wanapokutana na CDF, Je CDF anawapigia saluti?
 
Sijui kwa kweli labda ndio maana SASHA Alikataa wasivae gwanda tena

Umefanya nimkumbuke MKISI waha walimuonyesha kazi haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…