Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mzee we ulikua mwaka gani na Kombania ipi?
 
Tulikuwa tunabishana na wadau hapa kwamba mjeda asiye na cheo anaweza msalimia koplo wa police au nyota moja polisi, vile vile kwa vyombo vingine magereza, hii imekaaje wadau
Tutajadili baadae hizi mambo sahv tusikilizie kwanza lonja mkuu wangu ama nini
 
Hata mie nisingerudi ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…