Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sema hivi vyombo ukifata maelekezo kidogo inakuwa ahueni hata kupigwa pigwa kunapungua, maana nakumbuka mwanangu mmoja jkt siku ya intro tulipitishwa darajani chini mqji kama yote, yule mwamba alitoka akiwa ameloa kidogo weeeh wakamuona alipigwa stiki kama mtoto
 
Utumishi nako changamoto nauli na post chache kuliko hata za haya majeshi, nafasi 65 za mchumi. sasa cheki nyomi iliyoitwa kwenye usahili karibia kanda zote za nchi. Jah bless tu tobolee huku.
Utumishi wamenikata moto kabisa yan sitak kabisa kuwasikia. Umeapply vizur kila kitu kipo wanakuambia hujaattach kitu fulan. Yan nimewqchoka nitapambana hukuhuku tu
 
Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje
Hao wa 1 na 2 waende A level au vyuo. Halafu wakiajiriwa tu wanalianxisha kwenda kusoma! Hawakamatiki
 
Hahaaaaaa ,noma sana na safety zero kwenye hivi viwanda vya bongo ,unaweza toka marehemu mule , kamanda ukala mabio au sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…