Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu yaani usu wa JWTZ umringanishe na ASP wa PT? Usu lazima apige saluti.Alafu haya ya nani mkubwa sijui ni mambo yanakuzwa sana na Askari wadogo wadogo na stori za vijiweni ila wenyewe wakikutana wala hawana kwere wanapeana heshima zao.
 
Ndio hilo hawezi, sababu anajua wanajeshi wanaweza kuongoza polisi, uhamiaji, magereza na zimamoto, ila hao hawawezi kuongoza jeshi mkuu
Umesema Raisi hawezi???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..... Raisi ambae katiba Ina mpaa uwezo wa kutengua uteuzi wa waziri mkuu bila kutoa sababu yeyote??? Ndo unasema hawezi ??? Ndugu una vituko sana
 
Dah nilijua hv siku moja baada ya kumuona makamanda wakubwa kabisa wakimpigia saluti miss[emoji23] ...(hii NI code)
 
Ndugu unafurahisha ujueπŸ˜‚πŸ˜‚ kwani let's be honest Major General mzee aliyepelekwa kua kamishina generali wa magereza alikua akitamkwa kwa cheo gani kwanza??? Alikua akitamkwa "Kamishina Jenerali wa Magereza Meja Jenerali Suleimani Mzee". Kumbuka mtu hutambulishwa kwa cheo kikubwa alichofikia mfano mzee mwinyi alishawahi kua makamu wa Raisi na Raisi pia lakini anatambulishwa kama Raisi mstaafu sio makamu wa Raisi mstaafu, hata kwenye taaluma unaweza ukawa ni Engineer pia ukawa Dr kwa maana ya PHD Holder pia ukawa Professor, lakini title kubwa ni Professor na hivyo tutakutambulisha kama Professor. Meja Jenerali Mzee kuwekwa kua Kamishina Jenerali wa Magereza hiyo promotion sio demotion. Inapokua Demotion mara nyingi wana staafu mfano mzuri ni baada ya Raisi Samia kutengua Uteuzi wa Chief of Staff Luten Jenerali Yakubu Muhamedi akapelekwa uturuki ukoo kua Balozi na mwaka Jana aka staafu na CDF mabeyo. Soma kwa namba navyotambulishwa Meja Jenerali Mzee kwenye hiyo picha, huwez mtambulisha mtu kwa cheo kidogo alafu ufuate cheo kikubwa never
 
Mwamba nakuombea sana upate Kazi awamu hii huwa nawakubali sana wapambanaji kama nyinyi kama yule kunguru wa manzese mwamba alichangamsha sana kula jukwaa la magereza na nilivyosikia kapata nilifurahi sana na alikomaa kama wewe hivihivi sahv anakaza tu!!!


Kaka lazima uende awamu yako hii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unalalamika sana, ebu tuelewane Raisi hawezi kwasababu Hana mamlaka iyo au hawezi kwasababu sio hekima kufanya ivyo??? Nikuelewe kwanza. Maana hata wewe naamini huwezi kutembea uchi mtaani lakini sio kwamba huwezi huna uwezo ni huwezi kwasababu sio hekima. Sasa je Raisi hawezi kufanya ivyo kwa sababu Hana uwezo huo au sio hekima???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…