methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Maisha ni magumu ila pia usinung'unike. Kuwa positive, piga goti,Sali, mtumaini Mungu hakika atafungua milango in manner u have never imagined before. Always be positive.Yaaani hata kwenye familia kuna muda unadharaulika, unaonekana hauna msaada wala mchango wowote kwa familia, linapotokea swala la michangi ww hauna tu kila siku, hii yote ni kutokana na kutokuwa na kazi,wakuu sio poa kitaa pamoto miaka inazidi kukatika, kama kuna uwezekano wa kusaidiana tusaidiane asee
yaah champMaisha ni magumu ila pia usinung'unike. Kuwa positive, piga goti,Sali, mtumaini Mungu hakika atafungua milango in manner u have never imagined before. Always be positive.
We jamaa umekuja kubishana siyoHebu waeleweshe hawa vijana afande
Punguza ligiHebu waeleweshe hawa vijana afande
Certificate ya kitu Gani mkuu, kama hiyo certificate Yako iliorodheshwa nakushauri beba hiko cheti chako cha certificate pamoja vingine vyote hata ulivyoombea ukifika kule kitaeleweka tu ya mungu mengi ✍️Wakuu naomba kuuliza, hivi mfano. Una degree ya kitu flani. Alafu hapo hapo una fani nyingine kwa level ya certificate. Ikitokea umeitwa kwenye usahili unaweza kushawiahi wakuchukue kupitia hiyo fani kama degree itakua na ushindani?
Kama unafani inakuaje jamanUlikuwaje mtihani ulikuwa mmoja kwa wote au kulingana na fani?
Kama unafani inakuaje jaman
Swali dogo tu we uliombea kwa cheti kipi??? Na je hiko cheti Cha fani nyingine kina tambulika na NECTA au NACTE??? na je kama kinatambulika ujue hata ukifaulu utalipwa mshahara wa certificate hata kama una degree yakoWakuu naomba kuuliza, hivi mfano. Una degree ya kitu flani. Alafu hapo hapo una fani nyingine kwa level ya certificate. Ikitokea umeitwa kwenye usahili unaweza kushawiahi wakuchukue kupitia hiyo fani kama degree itakua na ushindani?
Sikuangalia. Ila Nina degree na certificate ya FULL HOTEL MANAGEMENT, Mambo ya uchef kww wingi...Certificate ya kitu Gani mkuu, kama hiyo certificate Yako iliorodheshwa nakushauri beba hiko cheti chako cha certificate pamoja vingine vyote hata ulivyoombea ukifika kule kitaeleweka tu ya mungu mengi [emoji3578]
Niliombea Cheti Cha Degree.. na Cheti changu Cha certificate kinatambulika kabisa na NACTE. Hapo mwisho namekuelewa. AhsanteSwali dogo tu we uliombea kwa cheti kipi??? Na je hiko cheti Cha fani nyingine kina tambulika na NECTA au NACTE??? na je kama kinatambulika ujue hata ukifaulu utalipwa mshahara wa certificate hata kama una degree yako
Kamanda mfwende nakubali nakubali mzeee mkuuuDeath has gotta be easy because life is hard , Cent aliimba. nyie leteni pgo za usoja uchwara wakati hata life analoishi PT traffic hamgusi 5times.
Kitengo jiko au sio...upite mzee ukachukue tengo hukoSikuangalia. Ila Nina degree na certificate ya FULL HOTEL MANAGEMENT, Mambo ya uchef kww wingi...
Kumbe PT mliambiwa mtume na transcript kabisa?Hiz lonja ni za kutishana.. jumatatu nimemuona mtu kabisa kapgiwa simu kutoka makao makuu kwamba amesahau kuambatanisha transcript so aitume.. nikajiuliza kwamba jamaa ni potential sanaa au watu ni wachache kiasi hicho walioapply
I meant cheti cha degreeKumbe PT mliambiwa mtume na transcript kabisa?