Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Simple answer kwa uhakika zaidi nenda kwenye ofisi ya RPC wako kuhakikisha ukikaa tu bure unasubir kupigiwa simu au sms unaweza kwenda Chaka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi kesho usiache kwenda


Kuna mikoa wameambiwa kama unajijua umeomba barua imepitia kwa kamanda wa huo mkoa husika uende



Ukisubiri sms umeumia
 
Simple answer kwa uhakika zaidi nenda kwenye ofisi ya RPC wako kuhakikisha ukikaa tu bure unasubir kupigiwa simu au sms unaweza kwenda Chaka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha sms hao nilioskia mwaka huu waliotuma sana sana wamejitahidi

Na nimesikia usaili utaenda haraka haraka mwaka huu


Aende kwenye mbao za matangazo na akienda kule atakutana na" tangazo wote mliomba mje kwenye usaili " labda waamue wabandike majina
 
Nashukuru sana kwa maelezo murua haya kaka. Kwa maana hiyo ninapojiandaa kwa usahili nitegemee maswali ya namna gani kuhusu hii kada yangu ya afya?
 
Uhamiaji bdo bila bila sijapata mkuu aliyepiga pepa yao mwaka jana
Kuna demu niliunganishwa nae ila ananata sana mkuu, kama utahitaji nikupe namba zake Dm, atakupa tips.

Jua vitu vya msingi mkuu
Kuanzia
1.VISION
2. MISSION
3. MOTTO
4.DIFFERENT BETWEEN PASSPORT AND VISA
5. TYPES OF PASSPORT
6. TYPES OF VISA
7. VITU VINAVYOHITAJIKA MTU AKITAKA PASSPORT
8.PASSPORT ZIPI MTU HAWEZ KUJATA ONLINE
9.WHAT IS ELECTRONIC PASSPORT
10.JUA BACKGROUND YA UHAMIAJI
11. NINI UFANYE UKIPOTEZA PASSPORT


UKIFELI HAPO UCHAWI UPO😁(JOKE)
 
Pia kwa UT pitieni client services charter nina dogo langu anaenda kupiga interview huko kadokezwa apitie na hiyo
 
Kwa kuongezea akuguseguse na civics kidg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…