mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Uhamiaji bdo bila bila sijapata mkuu aliyepiga pepa yao mwaka jana domu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LKwann isiwe moka ya church. Kama ni cheusi na kiko smart
Simple answer kwa uhakika zaidi nenda kwenye ofisi ya RPC wako kuhakikisha ukikaa tu bure unasubir kupigiwa simu au sms unaweza kwenda ChakaNaomb tuwekana sawa kidogo kwani kwa sisi ambao tumeomb kupitia form 4 ni lazima tupigiwe simu au tupate sms mii nacho jua kweny form ya Maelezo wamesm
Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne waliowasilisha maombi yao kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa usaili wao utafanyika kwenye Mikoa waliyowasilisha maombi yao.
Saaa apo sijajaju watu hamja elewa nini
Upo sahihi kesho usiache kwendaNaomb tuwekana sawa kidogo kwani kwa sisi ambao tumeomb kupitia form 4 ni lazima tupigiwe simu au tupate sms mii nacho jua kweny form ya Maelezo wamesm
Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne waliowasilisha maombi yao kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa usaili wao utafanyika kwenye Mikoa waliyowasilisha maombi yao.
Saaa apo sijajaju watu hamja elewa nini
Jana nilienda Central Arusha hawajabandika majinaa kabsaa km kuna ambaye ametoka leo aniambie km wamebandikAUpo sahihi kesho usiache kwenda
Kuna mikoa wameambiwa kama unajijua umeomba barua imepitia kwa kamanda wa huo mkoa husika uende
Ukisubiri sms umeumia
Hakuna cha sms hao nilioskia mwaka huu waliotuma sana sana wamejitahidiSimple answer kwa uhakika zaidi nenda kwenye ofisi ya RPC wako kuhakikisha ukikaa tu bure unasubir kupigiwa simu au sms unaweza kwenda Chaka
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
tangazo la kuitwa wote umeliona ?Jana nilienda Central Arusha hawajabandika majinaa kabsaa km kuna ambaye ametoka leo aniambie km wamebandikA
Nimeliona me nauliza kwa form four kwa walioko Arushatangazo la kuitwa wote umeliona ?
Nashukuru sana kwa maelezo murua haya kaka. Kwa maana hiyo ninapojiandaa kwa usahili nitegemee maswali ya namna gani kuhusu hii kada yangu ya afya?Watu wa kada ya afya wanaingia kote kote kwa mfano madaktari wapo ambao watabak afya kuu kuhudumu mahospitali na wengine watakuw forensic huko. Sawa na wataalamu wengine wa kisayansi kama watu wa maabara wapo ambao watapangiwa kuhudumu mahosp wengine watapangiwa maabara za uchunguzi kwenye forensic department.
Forensic ni chaka tamu sana chomboni. Linahusu uchunguzi wa criminal issues kwa njia za kisayansi. Kwa mfano kama mtu amefariki kifo cha kutatanisha, daktari ataitwa kuweza kudetermine the cause of death baada ya uchunguzi either kama mtu alinyongwa, au lah...pamoja na kuchukua samples na wataalamu wengine kuangalia kama sumu zilitumika au vipi.
In short FB ni pana na inahusisha wataalamu wengi sio tu wa kada ya afya...watu wa fingerprinting, wataalamu wa milipuko, wataalamu wa mitandao na cybercrime, ITs and so on....
So Interview inajikita kwenye nini hasa kwa watu wa kada ya afya?Afya ni pana sana Mkuu unaweza kuwa MD na ukaingia Kamisheni ya Forensic Bureau ukawa specialized kwenye DNA labda nk.
Kuna demu niliunganishwa nae ila ananata sana mkuu, kama utahitaji nikupe namba zake Dm, atakupa tips.Uhamiaji bdo bila bila sijapata mkuu aliyepiga pepa yao mwaka jana
NakuPMNashukuru sana kwa maelezo murua haya kaka. Kwa maana hiyo ninapojiandaa kwa usahili nitegemee maswali ya namna gani kuhusu hii kada yangu ya afya?
Pia kwa UT pitieni client services charter nina dogo langu anaenda kupiga interview huko kadokezwa apitie na hiyoKuna demu niliunganishwa nae ila ananata sana mkuu, kama utahitaji nikupe namba zake Dm, atakupa tips.
Jua vitu vya msingi mkuu
Kuanzia
1.VISION
2. MISSION
3. MOTTO
4.DIFFERENT BETWEEN PASSPORT AND VISA
5. TYPES OF PASSPORT
6. TYPES OF VISA
7. VITU VINAVYOHITAJIKA MTU AKITAKA PASSPORT
8.PASSPORT ZIPI MTU HAWEZ KUJATA ONLINE
9.WHAT IS ELECTRONIC PASSPORT
10.JUA BACKGROUND YA UHAMIAJI
11. NINI UFANYE UKIPOTEZA PASSPORT
UKIFELI HAPO UCHAWI UPO😁(JOKE)
Kwa kuongezea akuguseguse na civics kidgKuna demu niliunganishwa nae ila ananata sana mkuu, kama utahitaji nikupe namba zake Dm, atakupa tips.
Jua vitu vya msingi mkuu
Kuanzia
1.VISION
2. MISSION
3. MOTTO
4.DIFFERENT BETWEEN PASSPORT AND VISA
5. TYPES OF PASSPORT
6. TYPES OF VISA
7. VITU VINAVYOHITAJIKA MTU AKITAKA PASSPORT
8.PASSPORT ZIPI MTU HAWEZ KUJATA ONLINE
9.WHAT IS ELECTRONIC PASSPORT
10.JUA BACKGROUND YA UHAMIAJI
11. NINI UFANYE UKIPOTEZA PASSPORT
UKIFELI HAPO UCHAWI UPO[emoji16](JOKE)
Shukran mkuuPia kwa UT pitieni client services charter nina dogo langu anaenda kupiga interview huko kadokezwa apitie na hiyo
Hiv dressing code, wanazingatia sana??Pia kwa UT pitieni client services charter nina dogo langu anaenda kupiga interview huko kadokezwa apitie na hiyo
Kuwa smart mzee hata kama utakalishwa chini. Tokelezea decently sio ovyo ovyo tu.Hiv dressing code, wanazingatia sana??
Sawa sawa mkuuKuwa smart mzee hata kama utakalishwa chini. Tokelezea decently sio ovyo ovyo tu.
Kama umeliona hapo mkoani Arusha nenda kwenye usaili tarehe mliyoambiwa kama tangazo livyowaelekeza . Kama hujaona tangazo lolote hapo mkoani kwako subiri. kwa baadhi ya mikoa ni keshoNimeliona me nauliza kwa form four kwa walioko Arusha
SawaaKama umeliona hapo mkoani Arusha nenda kwenye usaili tarehe mliyoambiwa kama tangazo livyowaelekeza . Kama hujaona tangazo lolote subiri. kwa baadhi ya mikoa ni kesho