Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Umemjibu vizuri.Stahiki zote za mfanyakazi ni siri baina ya muajiri na muajiriwa,la msingi upate kazi upate bima ya afya wewe na familia yako kwa 100% bila kukatwa kwenye mshahara,upate posho mbalimbali,upate mikopo uinuke kiuchumi,natamani sana ningekuwa huko chomboni nizitumie vizuri hizi fursa.Ingia chomboni kwanza mjuba......habar za mishahara ya watu utazikuta hukohuko [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunashukuru kwa mrejesho kiongoziLeo kurasini tumefanyiwa vipimo na uhakiki wa
Tunashukuru kwa mrejesho kiongozi,VIP inshu ya urefu walikuwa wanakomalia? Au umepima majibu keshoLeo kurasini tumefanyiwa vipimo na uhakiki wa
TumepimaTunashukuru kwa mrejesho kiongozi,VIP inshu ya urefu walikuwa wanakomalia? Au umepima majibu kesho
Zama mkuu sisi tutajiandaa na kwata ya mazishi tu Bob 😂😂😂 ingawa wote njia yetu ni mojaSijui nizame zangu WAGNER huko[emoji848][emoji848]
Haya mambo mbna tulishaongea chief...Wakuu mm naomba kuuliza ktk mshahara wa polisi wa form 4 hiv take home inakua bei gan na baada ya marupurupu anabakia na ngap na ukijuumlish na zile za lindo maan nimeambiwa PT cku iz ni kuzur mno
😂😂Form 4 unaulizia mshahara na marupurupu!!?Wakuu mm naomba kuuliza ktk mshahara wa polisi wa form 4 hiv take home inakua bei gan na baada ya marupurupu anabakia na ngap na ukijuumlish na zile za lindo maan nimeambiwa PT cku iz ni kuzur mno
Ndio au hawana marupurupu😂😂Form 4 unaulizia mshahara na marupurupu!!?
[emoji23][emoji23][emoji23]watch me broo,nitaleta mrejesho ninavotoka vitani(joke)Zama mkuu sisi tutajiandaa na kwata ya mazishi tu Bob [emoji23][emoji23][emoji23] ingawa wote njia yetu ni moja
Cha ufupi?Mapoti nipo kwenye usaili hapa , naona pimbi ni mimi mwenyewe, kuna haja ya kuondoka??
Komaa boss mpaka mwisho huwezi jua,maana kigezo sio kimoja tuMapoti nipo kwenye usaili hapa , naona pimbi ni mimi mwenyewe, kuna haja ya kuondoka??
EEhCha ufupi?
Nikikosa hizi kazi, sitokuja kuomba kwakwel.Komaa boss mpaka mwisho huwezi jua,maana kigezo sio kimoja tu
Km miaka inaruhusu komaa,usikate tamaaNikikosa hizi kazi, sitokuja kuomba kwakwel.
Lyoba mbona hujikubalii sana?Mapoti nipo kwenye usaili hapa , naona pimbi ni mimi mwenyewe, kuna haja ya kuondoka??
Najikubali mkuu, nimeingia pale nimetumbuiza vizuri.Lyoba mbona hujikubalii sana?
Mmepigwa interview au ilikuwa na vipimo tuNajikubali mkuu, nimeingia pale nimetumbuiza vizuri.
Wamenipima wamekuta 5'3.
Sasa ni wakati wa kusaka mbuyu niupe pesa ya sensa yote.