Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ingia chomboni kwanza mjuba......habar za mishahara ya watu utazikuta hukohuko [emoji23][emoji23][emoji23]
Umemjibu vizuri.Stahiki zote za mfanyakazi ni siri baina ya muajiri na muajiriwa,la msingi upate kazi upate bima ya afya wewe na familia yako kwa 100% bila kukatwa kwenye mshahara,upate posho mbalimbali,upate mikopo uinuke kiuchumi,natamani sana ningekuwa huko chomboni nizitumie vizuri hizi fursa.
Mengine ni yale kuwa PT Officer anatembea kifua mbele maana Nchi imemuamini na ikampa uthamani,popote hukwami.
 
Wakuu mm naomba kuuliza ktk mshahara wa polisi wa form 4 hiv take home inakua bei gan na baada ya marupurupu anabakia na ngap na ukijuumlish na zile za lindo maan nimeambiwa PT cku iz ni kuzur mno
Haya mambo mbna tulishaongea chief...
Ww ingia mzigoni usiweke maslahi mbele utateseka sana ..maana nature ya kazi na majukumu yake yanahitaji uvumilivu na kuipenda sana kazi
 
Wakuu mm naomba kuuliza ktk mshahara wa polisi wa form 4 hiv take home inakua bei gan na baada ya marupurupu anabakia na ngap na ukijuumlish na zile za lindo maan nimeambiwa PT cku iz ni kuzur mno
😂😂Form 4 unaulizia mshahara na marupurupu!!?
 
Zama mkuu sisi tutajiandaa na kwata ya mazishi tu Bob [emoji23][emoji23][emoji23] ingawa wote njia yetu ni moja
[emoji23][emoji23][emoji23]watch me broo,nitaleta mrejesho ninavotoka vitani(joke)
ila ngoja kwanza nimalize usahili wa polisi wakinikataa na jw nikikosa tena nitatafuta connection ya huko had niipate
 
Back
Top Bottom