Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Umemjibu vizuri.Stahiki zote za mfanyakazi ni siri baina ya muajiri na muajiriwa,la msingi upate kazi upate bima ya afya wewe na familia yako kwa 100% bila kukatwa kwenye mshahara,upate posho mbalimbali,upate mikopo uinuke kiuchumi,natamani sana ningekuwa huko chomboni nizitumie vizuri hizi fursa.Ingia chomboni kwanza mjuba......habar za mishahara ya watu utazikuta hukohuko [emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine ni yale kuwa PT Officer anatembea kifua mbele maana Nchi imemuamini na ikampa uthamani,popote hukwami.