Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Noted, Thanks Kwa ushauri [emoji120]
 
Kaka watu kibao wanaomba na wanatumia connection na bado wanakosa. Sasa niambia competition ya connection ilivo alaf ww unapply na kukaa tu.

Vyuo vinatoa graduates kibao na sio kwamba kozi umesoma peke yako. Labda Kama kozi hio huko peke yako ndo uapply na kukaa tu.

Uliza mambo ya Takukuru yaliendaje mwaka Jana. Tafuta na plan B. Usiapply na kukaa tu. Competition n kubwa na Tena kubwa sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hatuhimizi ubadhirifu lakini ndio njia inayotumika na unaotuona tunapiga kelele humu asilimia kubwa ni watoto wa wwakulima ambao hatuna hizo connection.
Kamwe huwezi kumkuta mwenye Mbanga akiongelea suala hilo.
 
Hata Alie na connection anamtegemea mungu na anasababu ya ziada, maisha ya Dunia Mungu ameyatengenezea kanuni maalumu ukifuata utafanikiwa usipofuata utafeli, no matter what.
Nakuwelewa Afande but Sometimes Mungu anafanya in Unexpected ways! Pia sio lazima uwe na Connection! Ila ukiwa nayo ni vizuri
 
Hatuhimizi ubadhirifu lakini ndio njia inayotumika na unaotuona tunapiga kelele humu asilimia kubwa ni watoto wa wwakulima ambao hatuna hizo connection.
Kamwe huwezi kumkuta mwenye Mbanga akiongelea suala hilo.
Naungana na ww chief ..mafanikio huja kwa juhudi na kusali sana
 
Mtuambie Hawa watu wa kupata plan B kutoka kwao tunawapatia genge lipi...
 
Kwaiyo mkuu ukiwa na 5.4 au 5.5 height unaliwa kichwa maana kuna jamaa angu kapiga usaili alinambia walikua wanauliza mpaka GPA umepata ya ngapi nikasema duuu mpaka GPA tena yanini sasa na kama wakichukua watachukua kwenye GPA kubwa au ndogo
 
Kuhusu hight haina shida wala usiwaze...
Maana Kuna maafande tunawaona Wana adi 5.2

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo mkuu ukiwa na 5.4 au 5.5 height unaliwa kichwa maana kuna jamaa angu kapiga usaili alinambia walikua wanauliza mpaka GPA umepata ya ngapi nikasema duuu mpaka GPA tena yanini sasa na kama wakichukua watachukua kwenye GPA kubwa au ndogo
Nakumbuka kwenye ukaguzi Wa Vyeti Kuna Afande aliangalia GPA akaniambia sio haba, kwenye panel zao wanaangalia everything mpaka na performance yako yaani GPA kwenye Transcript yako pia.
 
Nakumbuka kwenye ukaguzi Wa Vyeti Kuna Afande aliangalia GPA akaniambia sio haba, kwenye panel zao wanaangalia everything mpaka na performance yako yaani GPA kwenye Transcript yako pia.
Sio haba kwamba una kubwa au normal tu tiririka superintendent
 
Sio haba kwamba una kubwa au normal tu tiririka superintendent
Yaani ni kwmba ukimaliza usaili Kuna nahisi Huwa Kuna michakato wanafanya kwenye Vikosi/Panel zao so wanaangalia vitu vingi. Lazma waangalie GPA uliyopata chuo sasa mwenzio ana 4.1 wewe una 3.2 unafikiria hapo inakuwaje

GPA yangu ya kawaida sana sina First Class kama wengine.
 
Kaka methodinho MT naona hawataki mujibu unless uwe na maelekezo
Sasa nasubiri ajiza zitakazokuja hizi nishapapaswa zote
Kaka me sijapiga mujibu nimepiga kujitolea aseee....labda kwenye umri kidogo mimesogea....ila ndo wamenipiga ndoige, vp na ww wamezingua maana si ulienda mpk usaili kaka
 
First class parefu mkuu sema inategemea na course mtu aliyosoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…