Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kiufupi kwa upande wa Zanzibar wanaoenda PT tayar wameshajijua na wa bara Mungu atawasaidia pia
 
Kujipeleka ccp au kiwira,utakua unapoteza muda mkuu sio rahisi kama unavyodhani
Kama pdf likitoka jina lako halipo shukuru mungu,angalia maisha mengine tuu...
 
Nilipoenda kwenye usahili wao,nimegundua magereza Wana jiamulia tu wanavyotaka,kabla ya kuanza usahili wanakaa na kujadili wakitoka hapo ni tamko tu,Sasa kwanin hawakuchambua mapema na kuwatoa wasiowataka? Nikagundua hawapo static
Dar mujibu walikuwa wengi mnoo mpka wa kujitolea wakaanza kulalamika ikabidi wawapunguze so kama hakuna anayekujua unapunguzwa tu



Sahivi watu wanatolea macho ajira za majeshi huku utumishi kugumu
 
Sio kwamba mujibu hawatakiwi wanatakiwa ila unakuta viongozi wachache kwenye wilaya au mkoa husika wanajiamulia tu kwamba tuchukue wachache au tusichukue kabisa .
 
Mtalamba asali wakuu kikubwa kujipanga vizuri nje ndani, mm bado sijapoteza ushindi nina imani hili bogi nitaondoka nalo
 
Majeshi ya Tanzania majeshi ya kipumbavu,kitu critical kama vyombo vya ulinzi mnaingiza watu kiseng€ bila kuzingatia merits ,sijui majeshi gani hayo hawa wapuuzi wanatengeneza.

Rushwa na nepotism ni sumu , unaweza dhani inanufaika nayo ila itakuathiri huko mbeleni hata kama sio leo
 
Matusi ya nn
Refrain from abuse Lg
Jenga hoja za msingi .
Huko kuna watu wamesoma pia
Nyie mnatafta kuweni na roho za utaftaji
 
Sio kwenye majeshi tu karibia kila sekta, umejaa umimi, undugu, kujuana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…