Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kiufupi kwa upande wa Zanzibar wanaoenda PT tayar wameshajijua na wa bara Mungu atawasaidia pia
 
Kujipeleka ccp au kiwira,utakua unapoteza muda mkuu sio rahisi kama unavyodhani
Kama pdf likitoka jina lako halipo shukuru mungu,angalia maisha mengine tuu...
 
Nilipoenda kwenye usahili wao,nimegundua magereza Wana jiamulia tu wanavyotaka,kabla ya kuanza usahili wanakaa na kujadili wakitoka hapo ni tamko tu,Sasa kwanin hawakuchambua mapema na kuwatoa wasiowataka? Nikagundua hawapo static
Dar mujibu walikuwa wengi mnoo mpka wa kujitolea wakaanza kulalamika ikabidi wawapunguze so kama hakuna anayekujua unapunguzwa tu

Sahivi watu wanatolea macho ajira za majeshi huku utumishi kugumu
 
Wapi hiyo kaka?

Alafu watu hawajui mujibu na Kujitolea ni cheti kimoja sema maonezi mujibu miezi 3 ila unajitolea kusoma kwaajili ya nchi yako labda mwalimu au Dactari kuhudumia jamii lakini Kujitolea miezi 4 alafu unajenga taifa kwa kulima ujenzi nk lakini sidhan kama inamanufaa kwa taufa kama kutumikia uma.

Pia mujibu wa sheria sio wote walioitwa huenda ni baadhi wenye moyo. Hili swala liangaliwe kama hawataki watu wapande chei ukiingia na form four ukazie usiende kozi hata miaka 10 Wayne kama watu wataacha kuomba ama la watu hawataki cheo ila ajira
Sio kwamba mujibu hawatakiwi wanatakiwa ila unakuta viongozi wachache kwenye wilaya au mkoa husika wanajiamulia tu kwamba tuchukue wachache au tusichukue kabisa .
 
Majeshi ya Tanzania majeshi ya kipumbavu,kitu critical kama vyombo vya ulinzi mnaingiza watu kiseng€ bila kuzingatia merits ,sijui majeshi gani hayo hawa wapuuzi wanatengeneza.

Rushwa na nepotism ni sumu , unaweza dhani inanufaika nayo ila itakuathiri huko mbeleni hata kama sio leo
 
Matusi ya nn
Refrain from abuse Lg
Jenga hoja za msingi .
Huko kuna watu wamesoma pia
Nyie mnatafta kuweni na roho za utaftaji
 
Majeshi ya Tanzania majeshi ya kipumbavu,kitu critical kama vyombo vya ulinzi mnaingiza watu kiseng€ bila kuzingatia merits ,sijui majeshi gani hayo hawa wapuuzi wanatengeneza.

Rushwa na nepotism ni sumu , unaweza dhani inanufaika nayo ila itakuathiri huko mbeleni hata kama sio leo
Sio kwenye majeshi tu karibia kila sekta, umejaa umimi, undugu, kujuana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom