Azizi Walter
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 221
- 139
Kiufupi kwa upande wa Zanzibar wanaoenda PT tayar wameshajijua na wa bara Mungu atawasaidia pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao majina yametoka kitambo auKiufupi kwa upande wa Zanzibar wanaoenda PT tayar wameshajijua na wa bara Mungu atawasaidia pia
Wamepigiwa cm kwa Zanzibar lakini nazungumzia pamoja na PDF kuja kutoka lakini tayar wamepigiwa cm na kuna maelekezo waliambiwa wayatekelezeWao majina yametoka kitambo au
Hapo nimekuelewa kiongozi!My point is mtu anapotoa lonja na isikamilike basi msimuattack maana anything can change
Jaribu uone unaweza ukateuliwa ka MAJALIWAHivi ukijipeleka tu CCP mwenyewe hawewezi kukuonea huruma
Try to fail but fail to try [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787]Hivi ukijipeleka tu CCP mwenyewe hawewezi kukuonea huruma
Dar mujibu walikuwa wengi mnoo mpka wa kujitolea wakaanza kulalamika ikabidi wawapunguze so kama hakuna anayekujua unapunguzwa tuNilipoenda kwenye usahili wao,nimegundua magereza Wana jiamulia tu wanavyotaka,kabla ya kuanza usahili wanakaa na kujadili wakitoka hapo ni tamko tu,Sasa kwanin hawakuchambua mapema na kuwatoa wasiowataka? Nikagundua hawapo static
Sio kwamba mujibu hawatakiwi wanatakiwa ila unakuta viongozi wachache kwenye wilaya au mkoa husika wanajiamulia tu kwamba tuchukue wachache au tusichukue kabisa .Wapi hiyo kaka?
Alafu watu hawajui mujibu na Kujitolea ni cheti kimoja sema maonezi mujibu miezi 3 ila unajitolea kusoma kwaajili ya nchi yako labda mwalimu au Dactari kuhudumia jamii lakini Kujitolea miezi 4 alafu unajenga taifa kwa kulima ujenzi nk lakini sidhan kama inamanufaa kwa taufa kama kutumikia uma.
Pia mujibu wa sheria sio wote walioitwa huenda ni baadhi wenye moyo. Hili swala liangaliwe kama hawataki watu wapande chei ukiingia na form four ukazie usiende kozi hata miaka 10 Wayne kama watu wataacha kuomba ama la watu hawataki cheo ila ajira
Sorry mkuu hizi umekosa?Mtalamba asali wakuu kikubwa kujipanga vizuri nje ndani, mm bado sijapoteza ushindi nina imani hili bogi nitaondoka nalo
yaah mkuuSorry mkuu hizi umekosa?
Matusi ya nnMajeshi ya Tanzania majeshi ya kipumbavu,kitu critical kama vyombo vya ulinzi mnaingiza watu kiseng€ bila kuzingatia merits ,sijui majeshi gani hayo hawa wapuuzi wanatengeneza.
Rushwa na nepotism ni sumu , unaweza dhani inanufaika nayo ila itakuathiri huko mbeleni hata kama sio leo
Sio kwenye majeshi tu karibia kila sekta, umejaa umimi, undugu, kujuanaMajeshi ya Tanzania majeshi ya kipumbavu,kitu critical kama vyombo vya ulinzi mnaingiza watu kiseng€ bila kuzingatia merits ,sijui majeshi gani hayo hawa wapuuzi wanatengeneza.
Rushwa na nepotism ni sumu , unaweza dhani inanufaika nayo ila itakuathiri huko mbeleni hata kama sio leo
Hata wewe ukipata kitengo huwez wasahau ndugu,jamaa na marafiki wakati unauwezo wa kuwasaidia...Sio kwenye majeshi tu karibia kila sekta, umejaa umimi, undugu, kujuana
Sent using Jamii Forums mobile app