Sasa ofisa si lazima awe na elimu ya juu mzee!!! Kwa maana hiyo hao wenye degree wanaenda kuamdaliwa kuwa maofsa wa MT!! Sasa huoni umuhimu wa degree kwaninj mkuu??Ngoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT
Walioomba MT kupitia shahada ya famasi wasibirie mambo mazuri,,,,na ukipata nenda ukale maisha..Ngoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT
Pamoja na wasaidiz wa ofice ...(secretaries) inaonekana ofisi nying hazina watu haoWalioomba MT kupitia shahada ya famasi wasibirie mambo mazuri,,,,na ukipata nenda ukale maisha..
Kwanini degree isiwe na umuhimu kakaNgoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT
Manzi amepiga op mabeyo juz ka report ccpJaman wakuu sijajibiwa hivi koz ccp ishaanza na kama imeanza i na muda gani
Ngoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT
Kwan magereza wana hospitali au wana vituo vya afya tu.
We ndo hujui braza na kama hujui mi nna taaluma ya hiyo kitu niliyouliza...kuna tofaut kati ya kituo cha afya na hospital... kutokana na ngazi za matibabu inaanza zahanati-kitup cha afya-hospital ya wilaya -then rufaa.. swali langu nimeuuliza MT wana kituo cha Afya au nga Hospital ? Kutokana na ngazi za matibabu... mfano mi niko kibaha kuna gereza za kibaha huku na wana zahanati ila kuna matibabu baadhi ya wafungwa huwa wanaletwa hospital ya wilaya.We kaka emb kaa kwa kutulia [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] kama hujui nyamaza
& speaking of degree. Kuna taaluma zingine kama phermacy ,medical Lab hamna ulazima degree kweny ngazi ya zahanati na kituo cha afya...nadhn utakuwa umeelewa nilikuwa namaanisha nini kwnye swali langu...We ndo hujui braza na kama hujui mi nna taaluma ya hiyo kitu niliyouliza...kuna tofaut kati ya kituo cha afya na hospital... kutokana na ngazi za matibabu inaanza zahanati-kitup cha afya-hospital ya wilaya -then rufaa.. swali langu nimeuuliza MT wana kituo cha Afya au nga Hospital ? Kutokana na ngazi za matibabu... mfano mi niko kibaha kuna gereza za kibaha huku na wana zahanati ila kuna matibabu baadhi ya wafungwa huwa wanaletwa hospital ya wilaya.
Sijasema hawazihitaji... na kuongelea ukonga. Mi nakaa ukonga mombasa nna marafik piah ni maaskari pale... kama uliinilewa kuhusu utofaut wa hizo huduma za afya. Ukonga hamna hospital kuna kituo cha afya gereza la ukonga.Ukonga kuna hospital ya magereza
Na kama izo degree wangekuwa hawaziitaji kwanini wametoa tangazo la kuwahitaji watu wa fani zilizotajwa pale kwenye tangazo
Sema username yako braza [emoji119]...tamisemi ina vituo vya zaid ya 2000 nchini nzima.lkn jana wametoa majina ya ajira za afya. Kaangalie ukikuta pharmacy degree au medical lab degree wanazid 20. Screenshot nitumie... je Magereza itakuwaje...degree inaweza kutmik sehm nyingi hata kweny leadership...ila kama wataaangalia uhitaji wa huduma zao believe me magereza hawana huduma za afya za kujaza degree. Labda sekta zingine.Ukonga kuna hospital ya magereza
Na kama izo degree wangekuwa hawaziitaji kwanini wametoa tangazo la kuwahitaji watu wa fani zilizotajwa pale kwenye tangazo
Sasa wakati unasema huoni umuhimu wa degree ulikuwa unamaanisha nini?Ngoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT
Samahn kwa hilo . Itakuwa braza una degree nini[emoji16]Sasa wakati unasema huoni umuhimu wa degree ulikuwa unamaanisha nini?
Wenye elimu za juu tutalalamika sana lakn ki uhalisia majeshii uhitaji na mchache sana tena kwa mahitaji maaalum ndo maana ata wanatoboa mikataba % kubwa ya watu ambao wamekosa fursa na wapo mtaan ni graduate. Tukubali zama zimebadilika ndan vyomba vya ulinz na usalama uhitaji wenye elimu za juu ni wa maelkezoSijasema hawazihitaji... na kuongelea ukonga. Mi nakaa ukonga mombasa nna marafik piah ni maaskari pale... kama uliinilewa kuhusu utofaut wa hizo huduma za afya. Ukonga hamna hospital kuna kituo cha afya gereza la ukonga.
Umenena vyema...Wenye elimu za juu tutalalamika sana lakn ki uhalisia majeshii uhitaji na mchache sana tena kwa mahitaji maaalum ndo maana ata wanatoboa mikataba % kubwa ya watu ambao wamekosa fursa na wapo mtaan ni graduate. Tukubali zama zimebadilika ndan vyomba vya ulinz na usalama uhitaji wenye elimu za juu ni wa maelkezo
Achana na username itakupotezea muda baki kwenye hoja.Sema username yako braza [emoji119]...tamisemi ina vituo vya zaid ya 2000 nchini nzima.lkn jana wametoa majina ya ajira za afya. Kaangalie ukikuta pharmacy degree au medical lab degree wanazid 20. Screenshot nitumie... je Magereza itakuwaje...degree inaweza kutmik sehm nyingi hata kweny leadership...ila kama wataaangalia uhitaji wa huduma zao believe me magereza hawana huduma za afya za kujaza degree. Labda sekta zingine.