Umeona wapi mkuu?? Nimeangalia kwenye website yao saiv hamnaWakuu Nimeona MT wametoa majina ya usaili
Haya download share nasi tuone hukuMe Nimeona kwenye group la ajira utumishi
Hamna kitu kule!!! Kwasab hata kwenye website ya MT hakuna, sasa wao hayo majina sijui wameyapata wapiMbona hayaonekani
Haya ni yale majina ya waliofanya usahiliMbona hayaonekani
Hata usahili bado watu hawajaita watarudijeTpdf ndio hawarudi tena?
Okay Asante nimekuelewa kiongoziHata usahili bado watu hawajaita watarudije
Majeshini bwana basi tu ila sijaelewa hekima yao hadi Leo kuita watu wote wale watoto maskini alafu kumbe uhitaji ni kidogo....don't tell me kuwa ukiwa na watu wengi ndio rahisi kupata cream....Usahili wa PT mwaka waliita watu wengi sana kweny usahili...nurse degree waliitwa 80. Watu wakadhn kweny hawa 80 labda 15 wanaweza kuchukuliwa...mkeka ulivyotoka degree hawakuzid hata wanne...na kuna afande alitutonya pale kweny usahil kuwa mmeitwa wengi ila wanagitajika ni wachache watu wakaanza kubisha kichichini[emoji16].
Wanaita watu wengi ili ionekane haki ilitendeka.Majeshini bwana basi tu ila sijaelewa hekima yao hadi Leo kuita watu wote wale watoto maskini alafu kumbe uhitaji ni kidogo....don't tell me kuwa ukiwa na watu wengi ndio rahisi kupata cream....
oya huu ni ukweli kabisa sio masikharaWanaita watu wengi ili ionekane haki ilitendeka.
Ila kwa ground mambo ni magumu sana.
Kama huna 'Mazingira' basi tegemea kuliwa kichwa..
Na sisi kina CO vip ndugu naona MD tu inakua mjadala mrefuMkuu wewe ni mtu wa Afya kweli umeelezea micjango yako vizuri na unaeilewa kweli kada ya Afya iko hivi Ukonga kule ilipo kambi ya kikosi Maalum Magereza wamejenga Hospitali kuu ya Jeshi, Yenye hadhi ya Hospitali kabisa kwasasa unavyosikia Serikali imejenga EMD kwa hospitali za Halmshauri karibia nchi nzima basi na Magereza wamwpewa zaidi ya 500B na Serikali wamejenga EMD yakisasa na full equiped wanamalizia baadhi ya majengo
Pia inajengwa hospitali nyingine yenya hadhi ya Hospitali pale Makako Makuu Msalato nayo itakuwa full equiped kama ile ya Ukonga Before walikuwa na kituo cha Afya pale Getini ukonga na kule Chuo Cha Taaluma za Urekebishaji pia wamejenga Hospitali pale pape Ukonga
CO hamna mjadala na nafasi yenu ni kubwa maana karibia kila kituo au vituo vyote lazima viwe na Dispensary au Health Centre huko ndio kwenuNa sisi kina CO vip ndugu naona MD tu inakua mjadala mrefu
Kwahyo koz bado aijaanzaManzi amepiga op mabeyo juz ka report ccp