BadooKwahyo koz bado aijaanza
Badoo
Wameripoti tar 3 mwezi huu apo kiwiraTangu mwezi wa 4 chief ?
Alikua anaongelea CCP au MT?Wameripoti tar 3 mwezi huu apo kiwira
MT kakaAlikua anaongelea CCP au MT?
Vip MT nako kuna mchakato wa interview kama ilivyo kwa PT? Then interview itakua located wap?MT bado mchakato unaendelea kwa wale walioomba nafasi wenye taaluma zilizotajwa. Nadhani mwisho wa mwezi huu wa sita au mwanzoni mwezi wa saba mchakato utakamilika.
Yes, mchakato wa usaili utafanyika. Mahali ni Makao makuu ya MT, Msalato, Dodoma unless kuwe na mabadiliko ya kimkakati.Vip MT nako kuna mchakato wa interview kama ilivyo kwa PT? Then interview itakua located wap?
SHukrani chiefYes, mchakato wa usaili utafanyika. Mahali ni Makao makuu ya MT, Msalato, Dodoma unless kuwe na mabadiliko ya kimkakati.
Naam mkuu tusikate tamaaNimepata nguvu na kuamini safari Hii naeza kupata ajira hizi za majeshi, Nina marafik zangu wa karibu sana mmoja wa kike na mmoja wa kiume wote wamepata nafasi ya Ajira hzi mpya za ualimu,hakika kila rizki inakuja kwa wakat wake.Tumuamini mungu kama yeye ndio mtoa rizki na hakuna mwengine zaidi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
oya ni serious hii?!Ronja ( mtipidii kozi imeanza kitambo yapata mwezi sasa) ajira hizi hizi za juzi kwenye email na mkononi. Tuendelea kulitumikia Taifa pendwa la Tanzania.
SIO KWELIRonja ( mtipidii kozi imeanza kitambo yapata mwezi sasa) ajira hizi hizi za juzi kwenye email na mkononi. Tuendelea kulitumikia Taifa pendwa la Tanzania.
Mkuu Wangu shusha lonja za mtipiiiiidiSIO KWELI
hii sio ronja, hiyo kozi ronja zake zimetolewa tokea watu wapo mafinga.subir wenye ronja wanakuja.Ronja ( mtipidii kozi imeanza kitambo yapata mwezi sasa) ajira hizi hizi za juzi kwenye email na mkononi. Tuendelea kulitumikia Taifa pendwa la Tanzania.
Yap upo sahihi kaka mwez wa saba au wa nanehii sio ronja, hiyo kozi ronja zake zimetolewa tokea watu wapo mafinga.subir wenye ronja wanakuja.
ronja yangu ni kuwa kozi itaweza kufunguliwa oljoro kat ya wasaba had wa 8
Hili mbona lilishasemwa humu mkuu, Msata walifungua kozi tarehe 01/05, soon wanaelekea kutoboa six weeks za mkeshaRonja ( mtipidii kozi imeanza kitambo yapata mwezi sasa) ajira hizi hizi za juzi kwenye email na mkononi. Tuendelea kulitumikia Taifa pendwa la Tanzania.
Ko usahili utaanza lini mkuu?Hili mbona lilishasemwa humu mkuu, Msata walifungua kozi tarehe 01/05, soon wanaelekea kutoboa six weeks za mkesha
Na hao ni wale waliokuwa vikosini pamoja na wenye Connection, siyo wa zile ajira zilizotangazwa mwezi wa tatu, hawa wanasubiri kuitwa kwenye intake nyingine ambayo kozi inaweza kufunguliwa kule Oljoro mwezi wa nane
Mtipidii ni pagumu