Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

MT bado mchakato unaendelea kwa wale walioomba nafasi wenye taaluma zilizotajwa. Nadhani mwisho wa mwezi huu wa sita au mwanzoni mwezi wa saba mchakato utakamilika.
 
Vip MT nako kuna mchakato wa interview kama ilivyo kwa PT? Then interview itakua located wap?
 
Nimepata nguvu na kuamini safari Hii naeza kupata ajira hizi za majeshi, Nina marafik zangu wa karibu sana mmoja wa kike na mmoja wa kiume wote wamepata nafasi ya Ajira hzi mpya za ualimu,hakika kila rizki inakuja kwa wakat wake.Tumuamini mungu kama yeye ndio mtoa rizki na hakuna mwengine zaidi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam mkuu tusikate tamaa
 
Ronja ( mtipidii kozi imeanza kitambo yapata mwezi sasa) ajira hizi hizi za juzi kwenye email na mkononi. Tuendelea kulitumikia Taifa pendwa la Tanzania.
hii sio ronja, hiyo kozi ronja zake zimetolewa tokea watu wapo mafinga.subir wenye ronja wanakuja.
ronja yangu ni kuwa kozi itaweza kufunguliwa oljoro kat ya wasaba had wa 8
 
Yap upo sahihi kaka mwez wa saba au wa nane
 
Ronja ( mtipidii kozi imeanza kitambo yapata mwezi sasa) ajira hizi hizi za juzi kwenye email na mkononi. Tuendelea kulitumikia Taifa pendwa la Tanzania.
Hili mbona lilishasemwa humu mkuu, Msata walifungua kozi tarehe 01/05, soon wanaelekea kutoboa six weeks za mkesha

Na hao ni wale waliokuwa vikosini pamoja na wenye Connection, siyo wa zile ajira zilizotangazwa mwezi wa tatu, hawa wanasubiri kuitwa kwenye intake nyingine ambayo kozi inaweza kufunguliwa kule Oljoro mwezi wa nane

Mtipidii ni pagumu
 
Ko usahili utaanza lini mkuu?
 
Back
Top Bottom