mdalamishi
Senior Member
- Apr 15, 2023
- 190
- 187
Okay poa tupopamojaHuu ni mchakato ulio anza 21 August
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay poa tupopamojaHuu ni mchakato ulio anza 21 August
Poa kwaio unamaana Kwa nafasi zilizotangazwa mwezi March hakuna liwalo auHuu ni mchakato ulio anza 21 August
masuala ya kuwatukana em achana nayo kwanza... kikubwa tupate sehem unajua kukikucha unakwenda wap baasiSema nlichogundua humu mitandaoni fata Yako tu, tunavyowatukanaga polisi humu ndani huwezi kuamini kama hiyo kazi inatafutwa kiasi hiki.
Kila la heri jamani mpaka kieleweke, Kila mtu na maisha yake.
Kama unataka sehemu yq ukiamka asubuh uwe unapakuenda tAfuta biashara anza kidogo kidogo chief...masuala ya kuwatukana em achana nayo kwanza... kikubwa tupate sehem unajua kukikucha unakwenda wap baasi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hua sijibu maswali ya aina hii hata kama jibu ninalijuaPoa kwaio unamaana Kwa nafasi zilizotangazwa mwezi March hakuna liwalo au
Poa kwaio unamaana Kwa nafasi zilizotangazwa mwezi March hakuna liwalo au
Okay poa kiongoziHua sijibu maswali ya aina hii hata kama jibu ninalijua
10 years back hapa ndani, kuna dada alikuaga anaponda sana wanaume, basi baada ya miaka kadhaa nikaona nayeye ameweka tangazo kwamba anatafuta mwanaume wa kumuoa mwenye sifa za kuitwa baba na kusimamia/kuiongoza familia (ilimradi mwanaume huyo awe anapumua tu)...🤣🤣🤣masuala ya kuwatukana em achana nayo kwanza... kikubwa tupate sehem unajua kukikucha unakwenda wap baasi
kuna muda malengo nayo inabidi yaendane na uhalisia.... ndio yale yale umemalza chuo unasema chin ya mia 7 sipig kaz mambo yakikaza aah mwenyewe unajipeleka kwenye mia 310 years back hapa ndani, kuna dada alikuaga anaponda sana wanaume, basi baada ya miaka kadhaa nikaona nayeye ameweka tangazo kwamba anatafuta mwanaume wa kumuoa mwenye sifa za kuitwa baba na kusimamia/kuiongoza familia (ilimradi mwanaume huyo awe anapumua tu)...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nachokimaanisha hapa ni job security chiefKama unataka sehemu yq ukiamka asubuh uwe unapakuenda tAfuta biashara anza kidogo kidogo chief...
Kila la kheriMimi nipo kwenye usahili huu wa polisi leo ndo tunapima afya
Uko mimi nlishatokaTuseme nini sasa katika hili
Chief heshima yako.Haya wale wa kujitolea jkt muende...mshatangaziwa nafasi
Ahahaha kaka uko itakuwa kujila apo kinachofanyika ni probabilityLiving Pablo kaka vp tukalianzishe upya au tutulie tu na mujibu