Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jeshi gani linatumika kiseng.seng na wanasiasa jeshi ni jwtz peke yake.
Unaliwa kinyeo.Acha madogo wapate watakacho.Hakuna kazi iliyobora kikubwa tunafanya hizi kazi ili kutoboa maisha.
 
Hongera mzee, jiandae kwa interview. Ila majina bdo hayajatoka cha muhimu uwe una tembelea tovuti ya jeshi la polisi mara kwa mara.. Google (polisi ajira) utakuta taarifa zote humo
Mzee ajira zetu USAILI imetoka GAZETI LA JANA LA HABARI LEO TAR 8/9/2021 NIMELITAFUTA KAMA DHAHABU SIJALIPATA
 
Mzee ajira zetu USAILI imetoka GAZETI LA JANA LA HABARI LEO TAR 8/9/2021 NIMELITAFUTA KAMA DHAHABU SIJALIPATA
Nmeona umeanzisha uzi wameufuta[emoji44][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] eti dau laki moja[emoji23][emoji23]
 
Vijana tulieni kwa wale wenye elimu ya kuanzia Astashahada,Stashahada,Shahada waendelee kusubiria majina yatatolewa kupitia tovuti ya polisi.go.tz

Wale wa kidato cha nne na sita majina yao watayakuta kwenye mbao za matangazo katika ofisi za RPC,RC katika mikoa waliyoombea nafasi..

Tanga leo usaili unafanyika ofisi za RPC.
 

Vipi nyomi ya tanga kwenye usaili ipoje..
 
Vipi nyomi ya tanga kwenye usaili ipoje..
Hapana siyo kubwa,si wameshachuja watu wao wenye sifa ndiyo wamewaita kwahiyo namba ni ndogo tu huwezi kufananisha na usaili kama wa Utumishi nafasi 20 wanaita watu 11,000..
 
Ni shida watoto waliomaliza 2016 November watakuwa hawajatendewa haki pia wapo WALIO omba kujiunga na JKT lakini hawakuwewa nafasi hiki kigezo kinawapora haki Yao kwani kukosa sofa ya JKT siyo takwa Lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…