Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Na tusio pita jkt Mungu anaweza tenda miujiza uko?
na walio zidi mwaka mmoja yani 31 inakuwaje hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na walio zidi mwaka mmoja yani 31 inakuwaje hapo.
Nina jamaa yangu ni polisi na ka elimu kake ka "D" 3 ila kwa mwezi anaweza ingiza 900k na hapo bado vile vi hela vya brashi.
Sent using Jamii Forums mobile app
900K n mshahara wa mtu wa bachelor nazani alimaanisha hukoSio kweli nipo na dogo ana form six ila mshahara haujafika hata uko..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sio mshahara tunazungumzia hela anazolipwa na serikali kwa mwezi.Sio kweli nipo na dogo ana form six ila mshahara haujafika hata uko..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
BSCNgazi gani ya elimu wewe??
mkuu kma hauko smart na online job application nenda steshinari wakusaidie na wambie wazi rename documents zato wanavo attach kwa emails mfano:" Masumbuko Majimarefu Kiambatanisho B Polisi ."Wadau kwenye email tunatumaje
miaka 31Bahati yako itakubeba na uhitaji utakaokuwepo kweny taaluma husika.
Mkuu simaanishi basic salary,Ila maanisha total ya hela anazoingiza kwa mwezi nikiwa na maana ya basic,ration,vinywaji,escort,guard za mabenki,kusimamia mitihani (japokua sio kila mwezi n.k)Sio kweli nipo na dogo ana form six ila mshahara haujafika hata uko..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo vijana hawana uelewa na haya mambo [emoji28],,kupitia jamaa yangu nimegundua kua kumbe polisi ni underrated job.Sio mshahara tunazungumzia hela anazolipwa na serikali kwa mwezi.
Mdogo wangu kanipa details:-
-Mshahara nasikia ni zaidi ya laki 4
-Posho ya kula laki 3
-Posho ya kunywea vinywaji laki 1 kila mwezi
hapo hapo wanalipiwa hela ya pango, kama una ujuzi pia utalipwa na kama upo upelelezi utalipwa hela ya mavazi na upelelezi(kama sio 17% au 20%) ya mshahara.Huyo ni askari wa form four tu je,hapo ukijumuisha hapati laki 9 kwa mwezi? Akiingia lindo pia analipwa na escort analipwa.Polisi ni kazi nzuri tu tofauti na inavyobezwa na wanasiasa.
Ukiwa trafik ndo akili kumkichwa[emoji1]
Mkuu simaanishi basic salary,Ila maanisha total ya hela anazoingiza kwa mwezi nikiwa na maana ya basic,ration,vinywaji,escort,guard za mabenki,kusimamia mitihani (japokua sio kila mwezi n.k)
Sent using Jamii Forums mobile app
UsijisumbueNa tusio pita jkt Mungu anaweza tenda miujiza uko?
Hawezi toboamiaka 31
cheti ya certficate procument
jkt hajapita
anaweza toboa kweli
According to Scale ya serikalini tu mkuu..ITs najua wanapokea btn 900-1m
Tukutane CCP.
dua tu mkuuTukutane CCP.
Hakuna ubaguzi wowote kma hujapitia mujibu c kuna kujitolea pia,kma hujachagulia na unataman kwenda Kujiunga na wenzio hukatazwihiki kigezo cha kupitia jkt ni cha kibAguzi kwa sAbabi wAnOpitia jkt nao wanateuliwa wachache