Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sio kweli nipo na dogo ana form six ila mshahara haujafika hata uko..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sio mshahara tunazungumzia hela anazolipwa na serikali kwa mwezi.

Mdogo wangu kanipa details:-
-Mshahara nasikia ni zaidi ya laki 4
-Posho ya kula laki 3
-Posho ya kunywea vinywaji laki 1 kila mwezi
hapo hapo wanalipiwa hela ya pango, kama una ujuzi pia utalipwa na kama upo upelelezi utalipwa hela ya mavazi na upelelezi(kama sio 17% au 20%) ya mshahara.Huyo ni askari wa form four tu je,hapo ukijumuisha hapati laki 9 kwa mwezi? Akiingia lindo pia analipwa na escort analipwa.Polisi ni kazi nzuri tu tofauti na inavyobezwa na wanasiasa.

Ukiwa trafik ndo akili kumkichwa[emoji1]
 
Sio kweli nipo na dogo ana form six ila mshahara haujafika hata uko..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu simaanishi basic salary,Ila maanisha total ya hela anazoingiza kwa mwezi nikiwa na maana ya basic,ration,vinywaji,escort,guard za mabenki,kusimamia mitihani (japokua sio kila mwezi n.k)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mshahara tunazungumzia hela anazolipwa na serikali kwa mwezi.

Mdogo wangu kanipa details:-
-Mshahara nasikia ni zaidi ya laki 4
-Posho ya kula laki 3
-Posho ya kunywea vinywaji laki 1 kila mwezi
hapo hapo wanalipiwa hela ya pango, kama una ujuzi pia utalipwa na kama upo upelelezi utalipwa hela ya mavazi na upelelezi(kama sio 17% au 20%) ya mshahara.Huyo ni askari wa form four tu je,hapo ukijumuisha hapati laki 9 kwa mwezi? Akiingia lindo pia analipwa na escort analipwa.Polisi ni kazi nzuri tu tofauti na inavyobezwa na wanasiasa.

Ukiwa trafik ndo akili kumkichwa[emoji1]
Tatizo vijana hawana uelewa na haya mambo [emoji28],,kupitia jamaa yangu nimegundua kua kumbe polisi ni underrated job.

Polisi wanakimbiza kimya kimya.

Hao matraffic ndio usiseme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kazi hamjapata bado ila tayari mshawaza kupiga madili nyie ndio mtakuja kutusumbua sana [emoji3]

Tukiwa hatuna pesa mtupungizie unaa basi huko kitaa
 
Back
Top Bottom