Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wadau nlivofuata ile medical report kwa doctor aliniacha hoi sn. Doctor wa kike alikuwa na mwenzake oficn ktk kunihoji huku anajaza akaniuliza wewe mwanaume?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwenzake akashangaa akamuuliza kwan hapo unamuona wa kike? Bas hlo jbu sas weeh!![emoji23][emoji23]
 
Umechukua namba??
 
Ila dah nilikuw naangalia matangazo ya zamani ya uhamiaji najiuliz nilikuwa wapi kuapply yani unakuta tangazo kuwa Uhamiaji wanatangaza direct nafasi za "Mkaguzi msaidizi" sifa iwe bachelor, nafasi za "koplo" sifa iwe form 6 na nafasi za " konstebo" sifa iwe form 4...yang na degree yako ilikuw ukimaliza mafunzo tu una nyota yako dah Ila said dadek 😂😂😂😂
 
Ila dah nilikuw naangalia matangazo ya zamani ya uhamiaji najiuliz nilikuwa wapi kuapply yani unakuta tangazo kuwa Uhamiaji wanatangaza direct nafasi za "Mkaguzi msaidizi" sifa iwe bachelor, nafasi za "koplo" sifa iwe form 6 na nafasi za " konstebo" sifa iwe form 4...yang na degree yako ilikuw ukimaliza mafunzo tu una nyota yako dah Ila said dadek [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha tuulize siye tulokuwepo tukazikosa alafu,kaka connection zilitumika Sana
 
Ila dah nilikuw naangalia matangazo ya zamani ya uhamiaji najiuliz nilikuwa wapi kuapply yani unakuta tangazo kuwa Uhamiaji wanatangaza direct nafasi za "Mkaguzi msaidizi" sifa iwe bachelor, nafasi za "koplo" sifa iwe form 6 na nafasi za " konstebo" sifa iwe form 4...yang na degree yako ilikuw ukimaliza mafunzo tu una nyota yako dah Ila said dadek 😂😂😂😂
kuaplai sio kupata. omba mungu uwemo tuu
 
Hahahahaha tuulize siye tulokuwepo tukazikosa alafu,kaka connection zilitumika Sana
How good hizi connection ziwe, askari wa kawaida, nyota 2 mpaka 3 na askari mkongwe..?? Hawa wanaweza fanya kitu..? Nina jamaa yangu nilisoma nae yupo huko uhamiaji now.
 
Wanangu pambaneni muingie kwenye system

Unakuta jitu linaropoka vijana jiajirini ukilicheki tayari lina ajira kwa nini asiache akajiajiri au mtoto wake anamchomeka kwenye ajira [emoji3]

Acha huo uhasibu au ubunge uje uone moto

huku akiropoka vijana wa siku hizi mnapenda kuajiriwa

Mungu akiwasaidia Mkiingia kwenye system .ndugu, jamaa na watoto wenu wachomekeni msiwe wazembe
 
Back
Top Bottom