Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Hawawezi piga siku moja..maana vyombo vya ulinzi na usalama vya mkoa vitahitajika kote koteHapo kuomba tu isipigw sku moj
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi piga siku moja..maana vyombo vya ulinzi na usalama vya mkoa vitahitajika kote koteHapo kuomba tu isipigw sku moj
I mean,, kamati ya ulinzi na usalamaHawawezi piga siku moja..maana vyombo vya ulinzi na usalama vya mkoa vitahitajika kote kote
AhaaaI mean,, kamati ya ulinzi na usalama
Umechukua namba??Wadau nlivofuata ile medical report kwa doctor aliniacha hoi sn. Doctor wa kike alikuwa na mwenzake oficn ktk kunihoji huku anajaza akaniuliza wewe mwanaume?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwenzake akashangaa akamuuliza kwan hapo unamuona wa kike? Bas hlo jbu sas weeh!![emoji23][emoji23]
[emoji23]Umechukua namba??
Kama unakale kagonjwa chetu cha bk baki na vyeti tu nduguJeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
View attachment 1897057View attachment 1897058
Hahahahaha tuulize siye tulokuwepo tukazikosa alafu,kaka connection zilitumika SanaIla dah nilikuw naangalia matangazo ya zamani ya uhamiaji najiuliz nilikuwa wapi kuapply yani unakuta tangazo kuwa Uhamiaji wanatangaza direct nafasi za "Mkaguzi msaidizi" sifa iwe bachelor, nafasi za "koplo" sifa iwe form 6 na nafasi za " konstebo" sifa iwe form 4...yang na degree yako ilikuw ukimaliza mafunzo tu una nyota yako dah Ila said dadek [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ugonjwa gani huo kakaKama unakale kagonjwa chetu cha bk baki na vyeti tu ndugu
kuaplai sio kupata. omba mungu uwemo tuuIla dah nilikuw naangalia matangazo ya zamani ya uhamiaji najiuliz nilikuwa wapi kuapply yani unakuta tangazo kuwa Uhamiaji wanatangaza direct nafasi za "Mkaguzi msaidizi" sifa iwe bachelor, nafasi za "koplo" sifa iwe form 6 na nafasi za " konstebo" sifa iwe form 4...yang na degree yako ilikuw ukimaliza mafunzo tu una nyota yako dah Ila said dadek 😂😂😂😂
Wanywa smart gin wanaujuaNdio ugonjwa gani huo kaka
Kalee kanakotesa dunia banaa kha ujakajua tu kaka.....omraygadoooo.....bukoba wanakajua kashenye.Ndio ugonjwa gani huo kaka
Nahis itakuwa 3000Wakuu habari! Mwenye kujua Police wametoa nafasi ngapi atujuze mana kwa uhamiaji wametangaza 500!
Nahis itakuwa 3000
NimesahauIliyopita ilikua ngapi mkuu idadi?
How good hizi connection ziwe, askari wa kawaida, nyota 2 mpaka 3 na askari mkongwe..?? Hawa wanaweza fanya kitu..? Nina jamaa yangu nilisoma nae yupo huko uhamiaji now.Hahahahaha tuulize siye tulokuwepo tukazikosa alafu,kaka connection zilitumika Sana
Issue ya connection haihitaji sana vyeo issue ni upate mtu wa jikoni tu hata kama PTEHow good hizi connection ziwe, askari wa kawaida, nyota 2 mpaka 3 na askari mkongwe..?? Hawa wanaweza fanya kitu..? Nina jamaa yangu nilisoma nae yupo huko uhamiaji now.