Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta gap, jichanganye uone. Wanatuchora ,Kuweni makini vishoka ni wengi Sana
Yan kaka acha tu karibia nimfuate,km wale ffu wangenibeba juu juu wangejua wnywe [emoji23]Ungajilipua mzee we si umemuona majawaliwa yuko zake fire sahv anakula shushu aya maisha kujilipua tu hujui nani atakusaidia
Kwan kwel wanaachia February?Tunaosubiria kuvaa bakabaka mwezi wa pili tupo......muda wakuanza kutafuta connection huu
mkuu wangu sfari hii utakua moshi mi nitakua kwenu tangaMe pia napapenda Sana,na nina Imani nako Sana cjui kwann
Ila w2 tutapata dhambi sn,yan life lilivotait hvi mtu anawaza kumuibia mwenzk[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanatafuta gap, jichanganye uone. Wanatuchora ,
Aya maisha mzee we jitoe akili jambo lako liende kama mtaani kwako kuna mkubwa yoyote unamtimbia tu home au unamvizia muda wa kurudi homeYan kaka acha tu karibia nimfuate,km wale ffu wangenibeba juu juu wangejua wnywe [emoji23]
When you play the game of throne you win or you die there is no middle in the ground.Ila w2 tutapata dhambi sn,yan life lilivotait hvi mtu anawaza kumuibia mwenzk[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasema mwenye huruma hana bahati.When you play the game of throne you win or you die there is no middle in the ground.
Kaangalie Game of thrones utaelewa vizuri mkuu , hakuna huruma kwenye hii dunia. Panya yupo radhi ang'ate mguu wake atome kwenye mtego, ije kuwa wewe unaetumia id fake.[emoji2]
Wanafanya kazi mwisho saa sita na nusu wanafunga milangoOya wadau hivi posta jumamosi hawafanyi kazi ?
Vipi nyumba za mabati za ma afande wenu ziliboreshwa ?
B coy sio ya yule mpemba alikuwa akiisimamia
Mabula na shimika bado wapo ?
835 mgamboBaba hata wapige intro ya namna gan scale yake haitazid niliopigw pale 835 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fact sn,just like a war if you don't kill you will be killedWhen you play the game of throne you win or you die there is no middle in the ground.
Kaangalie Game of thrones utaelewa vizuri mkuu , hakuna huruma kwenye hii dunia. Panya yupo radhi ang'ate mguu wake atome kwenye mtego, ije kuwa wewe unaetumia id fake.[emoji2]
nimecheck karibia coments za wadau wote wanaikubali idara kuliko polisi
Kwa major Kanole hapo achana napo kbsa!!,mukianza mabio ya majani mapana yote kuisaka koponi upate chai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]835 mgambo
Kanole sio luten canal ni CO 821 KJ bulimboraKwa major Kanole hapo achana napo kbsa!!,mukianza mabio ya majani mapana yote kuisaka koponi upate chai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh kikubwa ni kuchanga karata kwa akili , ukikosa umekosa , ukipata umepata.Fact sn,just like a war if you don't kill you will be killed
We jamaa acha bas!! Watazifauta tuKama umeomba uhamiaji na umetuma barua kwa posta hesabu maumivu yahn umelipia tsh 1200 kwamba barua zako za kazi zikifika Dodoma uhamiaji wazifate posta wakati kuna serious people zimetuma kwa njia ya EMS tsh 15000 mzigo unafikishwa mpka ofisini.
Barua yako vipande vyake vitageuzwa ticket au bahasha.
Anataka watoto wa masikini tukate tamaa kabisaWe jamaa acha bas!! Watazifauta tu