Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwata lilikua linanipa raha pia maana utacheka sana ....maana kuna mananga wanapiga kwata utacheka ufe,yan kuna watu hawajui kwata kabisa
Kwenye somo la uvumilivu kusimama juani muda mrefu matall walikua wanaanguka sana ,sasa bhana ukiaanguka maafande wanakumwagia maji mwingine anakuambia oyaaa tunakupiga denda amkaa
Oyaaaaa wale majamaaa walikuwa machizi sasa huyo sudi akutane na na jamaa ake mmoja anaitwa mbaji sjui ulimkuta nae ndo utacheka
 
anapenda sana BRAVO anakuambia mafunzo yake yote alikua anaenda BRAVO hata wampange wapi...
Alikua ananichekesha sana alivyokua anawabusu watu mananga..na kuwaparua usoni
Mabuka sana sana yupo kwenye kufundisha vitala...huyo sudi namjua ni kweli ndio tabia yake hyo mwamba hakopeshi, utasikia sogeza shavu daah kmmk unajikuta huna ujanja unampa shavu anakupiga busu na hyo ndo huwaga coy yake pendwa bravo
 
Nyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo [emoji38][emoji38][emoji38] suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...
-Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa
-Chini ukitazaa buti ina ngaa
-Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati [emoji38][emoji38][emoji38] Ole wako vipshane..
- ahaha sasa iyo belt sifa ukaze kiunon kidol kisipnyee..
[emoji3][emoji3][emoji3]daah hizo sasa sifa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbaji mwembamba hv uso wake kama kalewa muda wote....huyo anakera mno kwenye maovyoovyo
Mbaji siku ya kwanza amekuja Bravo alikuja na mayai mawili mabichi akayavunja halafu akanywa mabichi hvyo hvyo likasema hapa natengeneza sauti ya parade...
Mbaji walikua na jamaa yake mwingine mweusi walikua wanaitana kwa nguvu mno hata yakiwa mbali utasikia babaaaaa baabaa njooo huku yanakutukana babaaaaa
Oyaaaaa wale majamaaa walikuwa machizi sasa huyo sudi akutane na na jamaa ake mmoja anaitwa mbaji sjui ulimkuta nae ndo utacheka
 
anapenda sana BRAVO anakuambia mafunzo yake yote alikua anaenda BRAVO hata wampange wapi...
Alikua ananichekesha sana alivyokua anawabusu watu mananga..na kuwaparua usoni
Sudi namkumbuka sana yule jamaa ana kera sema me hajawahi nifundisha nilikuwaga c coy....na kuna mt mmoja ndo alikuwa anaongoza kwa kupiga kwa kata hakuna mtu alikuwa anamfikia hata huyo sudi alikuwa anampa heshima, yule mwamba alipangwa coy yetu, mpk wakuu wenyewe walikuwa wanaikubali coy yetu, na sisi ndo tulikuwa washindi wa kwata
 
Oyaaaaa wale majamaaa walikuwa machizi sasa huyo sudi akutane na na jamaa ake mmoja anaitwa mbaji sjui ulimkuta nae ndo
Sudi alitupigisha intro hyo hatari sanaaa
Usiombe hata dakika 5 wabadilishane maafande yan atoke wa A coy aje bravo coy..utaliaaaa maana kila mmoja anataka kuwaonesha utofaut
 
Mbaji mwembamba hv uso wake kama kalewa muda wote....huyo anakera mno kwenye maovyoovyo
Mbaji siku ya kwanza amekuja Bravo alikuja na mayai mawili mabichi akayavunja halafu akanywa mabichi hvyo hvyo likasema hapa natengeneza sauti ya parade...
Mbaji walikua na jamaa yake mwingine mweusi walikua wanaitana kwa nguvu mno hata yakiwa mbali utasikia babaaaaa baabaa njooo huku yanakutukana babaaaaa
Kumbe uliwakuta wote daah yule mt jina lake limenitoka ila namkumbuka walikuwa wanaita pachaaaaaa na mbaji ndo mambo yao hao jamaaa wanapenda kujila
 
Sudi namkumbuka sana yule jamaa ana kera sema me hajawahi nifundisha nilikuwaga c coy....na kuna mt mmoja ndo alikuwa anaongoza kwa kupiga kwa kata hakuna mtu alikuwa anamfikia hata huyo sudi alikuwa anampa heshima, yule mwamba alipangwa coy yetu, mpk wakuu wenyewe walikuwa wanaikubali coy yetu, na sisi ndo tulikuwa washindi wa kwata
Sisi Bravo tulikua tunafundishwa pia na komandoo mmoja mweupe hivi janki tu ukikutana nae huwez jua kama ni mkomandoo..
Mlimkuta huyo komandoo?
 
Wale komandooo sisi ndo walitukuta na wapo pale kwa adhabu maalumu kuna mmoja big alafu mwingine sharobaro hv akitembea bega moja analiinamisha wale jamaa waligomaga kula messi hawashibi wakawa wanajipikia wenyewe
 
Ndege tai sema wale komandoo nilikuwa nawakubali kwanza kwenye mazoezi alafu kwenye range ukipangwa kwenda kwake anakuelekeza vzr na shabaha unapiga kuanzia 2 mpaka 3, wakubwa wenyewe walikuwa wanawaogopa, kwanza wale jamaa hata master pared hawakai, hawashiki silaha kulinda, mpk mkuu wa kambi akawa anasema waacheni tu
 
kuenda na pasi ya umeme inaruhusiwa Ccp?
Nyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo 😆😆😆 suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...
-Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa
-Chini ukitazaa buti ina ngaa
-Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati 😆😆😆 Ole wako vipshane..
- ahaha sasa iyo belt sifa ukaze kiunon kidol kisipnyee..
 
Nyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo 😆😆😆 suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...
-Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa
-Chini ukitazaa buti ina ngaa
-Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati 😆😆😆 Ole wako vipshane..
- ahaha sasa iyo belt sifa ukaze kiunon kidol kisipnyee..
Siku ya kwanza kujipeleka master parade ndio siku hiyohiyo nikaambiwa mchafu sijang'arisha kiatu. From then nikasema sirudi tena 😂
 
Back
Top Bottom