methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Oyaaaaa wale majamaaa walikuwa machizi sasa huyo sudi akutane na na jamaa ake mmoja anaitwa mbaji sjui ulimkuta nae ndo utachekaKwata lilikua linanipa raha pia maana utacheka sana ....maana kuna mananga wanapiga kwata utacheka ufe,yan kuna watu hawajui kwata kabisa
Kwenye somo la uvumilivu kusimama juani muda mrefu matall walikua wanaanguka sana ,sasa bhana ukiaanguka maafande wanakumwagia maji mwingine anakuambia oyaaa tunakupiga denda amkaa