Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hakuna kambi laini kama Ruvu Jkt..
Watu wameenda kambi wanene wamerud vile vile
nenda mtabila au kanembwa utaelewa somo
Tofautisha ugumu wa maisha na miundombinu mibovu na kozi unatumia kigezo gani kupita ubora wa kozi ni huo unene wa mtu kutopungua au 😅😅,rafik kapiga mujibu ruvu na kapiga kujitolea maramba kanipa experience na ndugu yangu kapiga kujitolea ruvu na mujibu huko kanembwa .
 
Back
Top Bottom