mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
UT huenda wakatangaza soon,coz ndio tarehe zao hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa wakati wa CP Fulani kabla ajatoka japo muda Alikuwa anakaza sana mibanga Kuna muda haisomekiNa kuna mshikaj mmoja alivaa mabomu akaenda makao ya jwtz Dodoma , akaenda na vyeti , kufika getin akatarget mlinzi mmoja akaomba kuongea nae ... Kamwelezea matatizo yake akamuomba kama atapendezwa amruhusu akamuone afande wa utumishi .... Yule mwana alifanikiwa kupata mtu ambaye alimpambania adi akapata nafas , ndo kaapa juzi Monduli .
Juzi walimu ndio wamepelekwa monduli kwaajili ya kuwanoa vijana so kujua kozi inaanza lini bado sijajua.southernboy@zafrain sag wakuu millitary science wanaanza lini course.
Anha sio ya monduli nazungumzia kozi Hawa form six mujibu wa sheria wa mwaka huu ile kozi ya awali.Juzi walimu ndio wamepelekwa monduli kwaajili ya kuwanoa vijana so kujua kozi inaanza lini bado sijajua.
Mkuu tarehe moja January ndo wanaanza kozitareh 1
Kufanya kazi za ulinzi haimanishi umegive maisha au umegive kitu fulani hapana kiongozi kamanda.Mkuu huku kwenye majeshi mengine umesha give up au
Watu kama hawa wako wapi,niunganishe naye huyo kiongoziWapambanaji msikate tamaa , nlifanikiwa kuingia kwenye majeshi haya Kwa mbinde lakin nilifanikiwa ..... Na ukipata mbanga inakua kitonga zaidi . Kama juzi kuna Mzee mmoja alikua anatafuta vijana kutoka familia zenye maisha magumu na waliosoma either diploma o degree , idadi ya watu 30 amewapeleka polisi. Ko issue n kuomba mungu akukutanishe na watu sahihi .
Upo kijana wanguUT huenda wakatangaza soon,coz ndio tarehe zao hizi
Nimekuelewa kamanda wangu....mhimu maokoto mengne yatajulikana mbeleKufanya kazi za ulinzi haimanishi umegive maisha au umegive kitu fulani hapana kiongozi kamanda.
Nadhani njia za utafutaji zipo nyingi halali tu,ni vyema ukafanya kazi ili maisha yasonge maisha ya kusubiri kazi ikiwa huna kazi ni maisha ya kudumaa kiakili hadi uanaume
Maisha yanataka utafute kwanza chaka kama ikitokea another bigger Chance than the first or currently you hold una piga chini unahamia kwengine.
Tusikate tamaa ila kazi tufanye kusubiri ajira siyo lazima kwamba lazima ajira upewe so tujiongeze tusikae tu mtaani
Wapo msata wanataka kuanza kozi ya refreshAnha sio ya monduli nazungumzia kozi Hawa form six mujibu wa sheria wa mwaka huu ile kozi ya awali.
Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozisouthernboy@zafrain sag wakuu millitary science wanaanza lini course.
Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozi
Kwaiyo millitary science watapiga kozi tofauti na kundi la 43Regular wapo TMA Sasa hii wiki ya 4 ya mkesha military science wapo msata wanasubiri waanze Refresh kozi
Nafkiri maana bado hawaja anzaKwaiyo millitary science watapiga kozi tofauti na kundi la 43