Suala sio kupuuza,Ukipuuza huo mkwara umehalalisha uhalisia wake iwapo kuna wanaomchombeza. Mwanamke yoyote hakosi wa kumchombeza.
Akiwa na adabu. Wanawake wengi wanajua kuwa ni wanaume wachache wapo serious na mke wa mtu. Wengi nia ni kuchovya urudi kwa mumeo.Suala sio kupuuza,
Suala Ni kufanya anachotaka afu usubiri matokeo, ila nakuapia,hachukui round anarudi[emoji4]
Sahii kabisa,Yani mimi mwenyewe kwa kinywa changu nilishawah kutamka kua "kama vipi nirudishe kwetu kwani ulinitoa chini ya mti". Mwaka wa buku nakomaa na mume [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda ukichukia sana bora ukae kimya maana unaweza ropoka kitu ambacho baadae unaona ulipuyanga. Sema kwa mtu anayejua mambo yalivyo anachukulia easy tu life linasonga
Humu pagumu sana. Miaka ya nyuma nilishawahi kuparuana na mtu kwenye uzi, kisa kutofautiana mawazo juu ya mada husika.Kweli Aposto...
Humu kuamua kesi ni vigumu coz watu wanakuja na mazuri yao mabaya yao hawayasemi..
Ona sasa...Humu pagumu sana. Miaka ya nyuma nilishawahi kuparuana na mtu kwenye uzi, kisa kutofautiana mawazo juu ya mada husika.
Alaf mwisho wa siku, mtoa mada anasema hana tatizo lolote, ila alikuwa anataka kuona reactions za wadau tu π π
Mkeo na mimi tayari ni wake wawili tuliosema hayo maneno[emoji23][emoji23][emoji23]Sahii kabisa,
Mimi wife akuaga anasema,
"Haya maisha Nmeyachoka bhana"[emoji4]
"Kesho Nirudishe home,mi kwetu sijaua bhana"[emoji28]
Ndoa nyng Sana inatokea,Mkeo na mimi tayari ni wake wawili tuliosema hayo maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuta kila mke ameshawahi yasema hayo maneno kwenye ndoa yake. Truth be told.
Siku hizi, humu kila kitu nachukulia simple tu.Ona sasa...
Mi hata niwe mchafu vipi,Ili jamaa apate nguvu za kumpiga huo mkwara, lazima awe clean some how. Otherwise atakosa confidence.
Yah you better do that...Siku hizi, humu kila kitu nachukulia simple tu.
π€£π€¦ββοΈTupo pamoja mkuu, hata mie nipo kwenye mchakato wa kumuacha mke wangu pia.. bora tuendelee na maisha yetu ya upweke tu
Kweli tena, bora tubaki lonely π«€π€£π€¦ββοΈ
Akichoka, kuna siku atakumwagia maji ya moto πMi hata niwe mchafu vipi,
Lazima ntatafta namna nigeuze kosa liwe lake afu ndo nimnyooshe kisawasawa[emoji4]
Ukitaka kupata mwanamke anakuabali kila jambo bila kukujibishaaa...Oa mwanamke ambae hajasoma alafu umemzidi umriii
Sema wasiache tu kutuelezea visa vyao, vinatusaidia kupoteza mudaYah you better do that...
Ngoja apambane na huba lake
π π π πsureSema wasiache tu kutuelezea visa vyao, vinatusaidia kupoteza muda