Wazo zuriUngemlipia kodi kwanza hapo ndo usepe mkuu
Hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zombie Mweusi umenichekesha mno, kwamba hakuna kutunza siri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa anatakiwa atapike yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Turishasema hakuna kutunza siri 2022 kuna mengine bado umeficha hatuna ushauri mpaka useme yote
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ushauri bora.Kazi ipo yaani. Hizi ndoa hizi basi tu.
Ina maana wakati wa courtship mpaka uchumba hukuona dalili zo zote kuhusu hizi tabia zake mbaya? Au uliziona ukapuuzia ukidhani kuwa ukimtia ndani zitarekebishika? Yaani umepoteza kibarua mwaka jana tu na tayari moto unakuwakia? Hata ubinadamu japo kidogo hamna? Vipi ukiumwa uwe wa kugeuza kitandani?
Sorry but sidhani kama una mke hapo aisee; na ukiamua kubaki naye huko mbele ya safari jiandae kwa magumu zaidi ya haya - usiishiwe pesa wala kuugua. Na uzeeni ujipange hasa!
Pole sana!
Mshitaki dawati la polisi eleza shida zote usione aibu kuelezea pia kuwa huna kipato na mke wako hachangii chochote ambapo anakuongezea mzigo wewe usie na kipato cha uhakika. Ukishindwa dawati la polisi nenda halmashauri ofisi za ustawi huyo mkeo ataambiwa hasara za mtoto kutolelewa na wazazi wawili na hasara za kutopata upendo wa wazaziNipe way to mkuu.
Ushauri wa kibingwa sana huu, asipokuelewa hataelewa tena.Sasa kama hata hiyo biashara yake ambayo anaifanya haimtoshi kulipia pango anaanzaje kuota mapembe kiasi hicho?
Lakini hapo nakushauri huruma yako ielekeze kwa mtoto, fanya maamuzi ambayo yatakuwa na faida kwa mtoto, huyo mwanamke hakufai
Oky nimekusomaMshitaki dawati la polisi eleza shida zote usione aibu kuelezea pia kuwa huna kipato na mke wako hachangii chochote ambapo anakuongezea mzigo wewe usie na kipato cha uhakika. Ukishindwa dawati la polisi nenda halmashauri ofisi za ustawi huyo mkeo ataambiwa hasara za mtoto kutolelewa na wazazi wawili na hasara za kutopata upendo wa wazazi
Usipo kua harsh sometimes hao watu wanakuchukulia poa sana.Aisee mm huwa nahisi ni upendo tu hivi kumbe naweza kuwa niko hivyo.?
Na kama kaanza kuonyesha makucha na hali hujamuona, chief hapa unatakiwa kujiongeza kama vile vitabu visemavyo kuwa "Ishini nao kwa akili", hapa walikuwa wanaambiwa wasio na akili kwamba wasioe.Offcoz kuna kuona tabia na kuvumiliana lakini haya makucha ndo nayaona sasa sikuwahi kuhisi kama atakuwa hivi siku moja.
Hapo kwenye kuchukuliwa RB ndipo hatua mbaya sana aliyokufanyia ambayo adhabu yake ni kuachana nae tu.Dahh sawa nimekusoma lakini ujue hadi sasa ana RB kwamba nilienda kumfanyia fujo ofisini kwake wakati nilienda kuchukua pesa zangu nilizompa week kabla. Sasa kuepuka kesi za hivyo si boda nimsikilizie tu.
Kabisa mkuu, yani watu wanamshauri jamaa akomae kisa kuogopa mkewe kuliwa na hizo njemba. Si ajabu kwa hizo tabia tayari kuna njemba zinamla.Kujitesa kote huko ili iweje? Kuwa king'ang'anizi utaishia kupewa sumu/ kuuwawa.
Jamaa ajikatae atafute mahali pengine pa kuishi, apambane na biashara zake na kutafuta kazi nyingine ila ahakikishe anatuma pesa kwa matunzo ya mtoto.
Maisha ya ndoa jamani Yana tabu sana ......tafuta chumba ondoka mkeo awez kosa pa kwenda atarudi hata kwao akafundishwe jinsi ya kua na adabuWakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.
Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za
Ahsante mkuuHapo kwenye kuchukuliwa RB ndipo hatua mbaya sana aliyokufanyia ambayo adhabu yake ni kuachana nae tu.
Kwa jinsi jela kulivyo halafu mtu mliyezaa nae ndio anataka kukupeleka hapo mapenxi hamna hakupendi huyo dada achana nae utapata mtu mzuri
Umeoa?Hapa ndio huwa namwelewa huyu jamaa Liverpool VPN
Pesa zimekwisha. Anaonekana ndio waleee wazee wa kutumia hela.Wewe mtu ana ujasiri wa kukufungulia rb polisi kwa mambo madogo mloshindwa kuelewana..yani anaenda kukulaza lockup mmewe kabisa?
Siku mkigombana hashindwi kukufanyia vivo.umechokwa jiongeze
Yes, haya mambo ya u nice guy i think ni kwa wanawake wa kizungu mzee, angalia hata malezi na adhabu za watoto wa kiafrika na wa kizungu.Jamaa mnyonge sana,kuna ndoa zinakufa sababu ya unyonge wa mwanaume,wanawake wa kiafrika wengi wanapenda rude boys
Akizingua anapigwa tu, hiyo ni lazima.Usipige mwanamke ka mmeshindwana achana nae bt ucje jaribu kumpiga