Nakutakia kila la kheri mdogo wangu, vp wewe hutomuomba hela?Habar mm ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambae atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mm bila sex Hadi ndoa.
Elimu: chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini:muislamu .
Muonekano: mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate pm.
Lkn pia umri wenu huo mnakuwa pasua kichwa sanaHabar mm ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambae atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mm bila sex Hadi ndoa.
Elimu: chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini:muislamu .
Muonekano: mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate pm.
Romance je? Na mengineyoHabar mm ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambae atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mm bila sex Hadi ndoa.
Elimu: chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini:muislamu .
Muonekano: mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate pm.
Wewe ni Bikila au? Tuanzie hapo kwanzaHabar mm ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambae atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mm bila sex Hadi ndoa.
Elimu: chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini:muislamu .
Muonekano: mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate pm.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maniga mnafeki sana...Pole mpendwa huku hupati hao wanaume wa hvyo weng wao wapitanjia .. nenda msikitini mweleze shekh umpe na mashart yote hayo atawaeleza vijana wanaohitaj mwenza na utapata wenye dini Inshaallah...huku hakuna wanaume mpenz ni vitombi tupu
Umejuaje mkuu???Pole mpendwa huku hupati hao wanaume wa hvyo weng wao wapitanjia .. nenda msikitini mweleze shekh umpe na mashart yote hayo atawaeleza vijana wanaohitaj mwenza na utapata wenye dini Inshaallah...huku hakuna wanaume mpenz ni vitombi tupu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vigezo vyote mkuu hapo ninavyo ila hiyo condition yako ya sex hadi baada ya ndoa imenikosesha mke.
Kila la kheri mkuu.
Mimi ni muislam ila ninsmiaka 36 je nafikiriwa?Muikristu hpn
Umewaza nini mkuu?Sex is overrated..
Natafute mke ambae hatoomba pesa kabla ya ndoa
Anyway natania mkuu
Kuwaza kuingia kwenye ndoa huku ukifikiria talaka ni hatari kwa amani ya familia.C kwa sababu ya kuficha kitu Ila ni kwasababu zengine . Km Ila aweke wazi kipi hapendi kipi km nkikudanganya talaka zipo
Aliomtoa bikra alimpa chips mayai tu ila wengine kutΓΈmb@ mpaka mkalipe mahari. Maajabu hayaHuo ni ushamba, kufanya sex mpaka kwenye ndoa kwani wewe hujatobolewa,
Angalia age gap, wewe utapofikisha umri wa miaka 35 yeye atakuwa na miaka 45, hapo anaanza kuishiwa nguvu za kiume wakati huo wewe ndio unaanza kukolea ukitamani ngono zsana, chukua mtu mwenye 25-26 ili muweze kukaa muda mrefu mkifurahia tendo la ndoa, wanawake wenzako wengi wanapitia hili tatizo kwa sasa la wanaume zao kushindwa kuwaridhisha kwa tendo la ndoa, wako wengi wenye shida hii, nisngependa binti yangu upitie hayo, chukua hatua hatua wakati unajiandaa kupata mchumba. 30 years anaanza vibaya uta enjoy muda mfupiHabari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.
Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Very Logical mwisho wake ni kuanza umalaya uzeeni πππAngalia age gap, wewe utapofikisha umri wa miaka 35 yeye atakuwa na miaka 45, hapo anaanza kuishiwa nguvu za kiume wakati huo wewe ndio unaanza kukolea ukitamani ngono zsana, chukua mtu mwenye 25-26 ili muweze kukaa muda mrefu mkifurahia tendo la ndoa, wanawake wenzako wengi wanapitia hili tatizo kwa sasa la wanaume zao kushindwa kuwaridhisha kwa tendo la ndoa, wako wengi wenye shida hii, nisngependa binti yangu upitie hayo, chukua hatua hatua wakati unajiandaa kupata mchumba. 30 years anaanza vibaya uta enjoy muda mfupi
Ukimpata utanipa mdogo wakeNami namtafuta ambaye hatadai ishu za "kujaliwa" a.k.a kupewa hela mpaka baada ya ndoa na awe bikra.
Yes, ni vema tukawashauri hawa vijana wanaotaka kuoana sasa hivi, mambo yameharibika sana wazee tunaishia kulala tu, hali sio.Very Logical mwisho wake ni kuanza umalaya uzeeni πππ
Hapo Ni Yesu tu ndo anakufaaHabari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.