nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Sex Ni hitaji muhimu kama tu kula lakini nadhani hizi ni fikra/mawazo ya kitoto bado hujakuwa sana kuweza kuchanganua mambo
Mfano ukiwa kwenye uhusiano na mtu kwa mwaka mmoja inabidi awe na uhusiano mwingine kwaajili ya sex ambapo huwenda akakolea na kuamua kumuoa huyo na akakuacha wewe au akawa na nyie wote na siku akikuoa akaona huna maajabu akawa anaridhika zaidi kwa mwenzio ikafanya uachike au kuishi maisha ya migogoro kwenye ndoa lakini chanzo ni wewe bila kujua