Unapata faida gani kupotosha watu?Mwezi wa tatu nilienda mkoa mpya Songwe nikafikia guest house moja inaitwa MKULIMA karibu na ILASI petrol station nilishangaa gharama ya kulala ni sh 10000 kwenye chumba chenye choo na bafu,maji ya moto,TV,nguo zisizidi 3 unafuliwa,viatu unabrashiwa na sahani ya wali na maharage ktk elfu 10 hiyohiyo na iko vizuri kuliko hata baadhi ya guest za dar za 30K!
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Ufundi ni ule ule chief hakuna kinachoongezeka, nakuja tukaribu upepo wa maisha.Kitugani kitakutofautisha wewe na mafundi madishi wa mbeya
Sijui sijafika huko chunyaGeita pako njema zaid ya chunya?
Mbona fursa zipo huko pia au alizeti hailipi siku hizi
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Post kama hizi zinanikata kabisa mood ya kusomesha mtoto shule ya million!Nimecheka kama mazuri, na degree yako unapigwa najua kaa standard 7 ,ila kikubwa nikukomaa Bora kusurvive ndugu mambo yamebadilika sana degree sio ishu tena
Huku Bara wala usije, kwani unashindwa kupanga vijana wauze maji ya miwa au mihogo ya kuchemshaSure mkuu nimekaa dar mwaka mzima ila nimeunga maisha hadi nimejiogopa, shuguli zenyewe za kipato hata laki 2 haifiki.
Mkuu ilikuwa mwaka gani?Lugha za kuudhi zimetoka wapi mkuu? Mimi nimekaa mbeya na nimekula wali wa 200 na chips za 100 ,kitimoto kwa 500 naelezea experience yangu unasema mimi ni mpuuzi?
Huku Bara wala usije, kwani unashindwa kupanga vijana wauze maji ya miwa au mihogo ya kuchemshaSure mkuu nimekaa dar mwaka mzima ila nimeunga maisha hadi nimejiogopa, shuguli zenyewe za kipato hata laki 2 haifiki.
Mkuu ilikuwa mwaka gani?
Ukiona hvyo, ujue hata kuipata hyo 10k ni ngumuMwezi wa tatu nilienda mkoa mpya Songwe nikafikia guest house moja inaitwa MKULIMA karibu na ILASI petrol station nilishangaa gharama ya kulala ni sh 10000 kwenye chumba chenye choo na bafu,maji ya moto,TV,nguo zisizidi 3 unafuliwa,viatu unabrashiwa na sahani ya wali na maharage ktk elfu 10 hiyohiyo na iko vizuri kuliko hata baadhi ya guest za dar za 30K!
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Naona kama veta n nzur kuliko huu ushubwada unaoitwa degreePost kama hizi zinanikata kabisa mood ya kusomesha mtoto shule ya million!
Ukifikiria mara mbili mbili utakuta kibongo bongo bora mtu ajue tu kusoma na kuandika ili ajue kujaza form za kuweka na kutoa hela bank otherwise utakuta Mtanzania elimu anayoigharamikia haimsaidii zaidi inakuja kuwa mzigo depressions lawama kwa ndugu kumuona kama mzembe etc.
Tabu sana
Uliambiwa na nani?[emoji3064][emoji848]Mbona wakati najiunga JF niliambiwa kila Member ana Gari (Sio baby wolker) Nyumba ( Sio mgongo wa tembo), Ana Kazi/ Ajira nzuri ( Sio zile za kubandika matangazo kwenye Nguzo za umeme) Lakini naona leo tupo wengi tunaotaka tuhame mikoa
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Singida chief.
Mimi mwenyew nikipata chanel ya kueleweka hili jiji nalihama mapema saana
Inaweza kuwa unapatikana lakini wageni wa kulala ndio shidaUkiona hvyo, ujue hata kuipata hyo 10k ni ngumu