Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

3

3m inaweza tosha?
Inaweza ikawa nyingi au chache kutegemea aina ya biashara unayoenda kuifanya hapo mgodini.
Ila kama ni broker tu inatosha sana. Kuna nyuzi nyingi sana zimetoa shuhuda humu ndani.
 
Opportunity Cost Bujibuji Mkatibisheni kijana mpambanaji.
Chamuhimu ukifika ishi vizuri na watu. Maisha sio rahisi sana kama unavyohisi, muhimu pambana tu.
usisahau nguo za kukukinga na baridi.
Tunamkaribisha Sana,kwa kuwa anaanza akawahi siti Uyole pale, fursa za kuanzia zipo ajichanganye Mjini akijikusanya aingie kwenye kilimo na Mazao ya kilimo.

Kuishi ataishi vizuri maana akiwa na buku 7 atapata kg 20 za unga/mahindi
 
Kwa mtu anayetaka kufanya biashara ya Kuuza mazao, ungemshauri mazao gani aanze nayo?
 
Kama hujafika mbezi dar huijui kaa kimya tu
 
Mbona unataka unirudishe nyuma tena mjuba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…