FigoHata Mimi naachana na konyagi niknywa nyingi chini ya tumbo kushoto na kulia kwenye nyonga panauma.
Acha ungeseFigo
RIP in advance
Hivyo visichana watu wanasema siku hizi vinachakachuliwa mno,so huenda unakunywa gongo bila kujijua mkuuMpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.
So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Sasa hutaki kuambiwa ukweli mzee?Acha ungese
Nisipokunywa hapaumi na mkojo wangu ni mweupe that means figo ziko ok only when I drink too much ndio hiyo Hali hutokea.Sasa hutaki kuambiwa ukweli mzee?
Kapime,I know one of my relatives tumemzika mwaka juzi alianza kwa dalili hizo hizo,kwenda hospital akaambiwa Figo ziko na hali mbaya.Nisipokunywa hapaumi na mkojo wangu ni mweupe that means figo ziko ok only when I drink too much ndio hiyo Hali hutokea.
Saa 8 usiku uko na pombe mkuu?Kabisa ndugu, nko na konyagi saiz ya kati toka sa 8 hapa haishuki siielew..
Kama kashindwa konyagi huko hatopawezaJaribu K VANT
Una stress za nini mkuu?saa 8 za usiku uko na makonyagi?Kabisa ndugu, nko na konyagi saiz ya kati toka sa 8 hapa haishuki siielew..
Unaishi wapi?!Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.
So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Myumbo njoo kaunta hapa kitambaa sinzaKwa nini mnakunywa pombe za bei rahisi?