Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

Jaribu vivulana mkuu, Figo is typing..........🤗🤗
 
Kapime,I know one of my relatives tumemzika mwaka juzi alianza kwa dalili hizo hizo,kwenda hospital akaambiwa Figo ziko na hali mbaya.
Acha kutisha watu mshamba wewe.... Wewe kunywa maji mengi tuone kama utaishi milele.
 
TBS wameng'ang'ania ukaguzi wa bidhaa feki lakini hawana man power ya kutosha matokeo yake ni mwendo wa vinywaji feki mtaani na wagonjwa wa dialysis kwa wingi.
 
Wanywa soda mnajiona dunia mumeipatia wakati maskini wakutupa.
wapi nimesema mim mnywa soda, maana wanywa soda na pombe utofauti wenu ni mdogo sana
 
Ndo maana ikaitwa Pombe na maji yakaitwa maji, kwamb ni vitu viwili tofauti na mwanadamu inabidi uvipate vyote kwa ustawi wa mwili wako
wapi imeandikwa binadam ili aishi mwili unahitaji pombe
 
Hamia kwenye gongo mkuu, maini yako yashazowea Konyagi.
 
Ini/Figo zishaanza kuzidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…