macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Njia nzuri kabisa ya ku-test ni kununua sehemu inayoeleweka, ambayo unajua hawawezi kuchakachua na kutumia kwa muda uone kama kuna tofauti. Ngoja nikuambia kitu kimoja. Kwenye huu utawala wa ''mama'' sasa Tanzania kila mtu anacheza rafu, na kila mtu analipia malipo ya kuachia nchi iongozwe kama danguro. Kama hawa wachina ni hatari kuliko hatari yenyewe, kwa sababu wana technology ya kutengeneza vitu fake na kuingiza kwenye mzunguko kwa urahisi sana.Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.
So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Unaona mrejesho wa wadau alaf ulisema eti unaimudu😂😂😂Sasa mbadala wa konyagi nini 🙄
Ukikutana na nyagi og huwa nzuri haina shida, haina hata hangover unaweza ipiga na asubuhi ukala kipolo cha wali maharage 😁Unaona mrejesho wa wadau alaf ulisema eti unaimudu😂😂😂
Konki balaa sana
Kwamba hujui fake ni nyingi siku hizi? Chupa zinaokotwa balaa,Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.
So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Hapo uliposoma kuwa binadam ili aishi anahitaji maji kaparudie na upatafakari utapata na jibu kuw ni hapohapo ndipo palizungumzia na pombe.wapi imeandikwa binadam ili aishi mwili unahitaji pombe
Duuh kumbe hii kitu ni kweli nilikuwa nasikiaga tu kuhusu upofu kumbe dogo lilikukuta jambo 🤣 sema yote kwa yote bora umepata akili umeachakinantia upofu kinamna flani
Eeh macho yalianza kufa nikaona hapana😂Duuh kumbe hii kitu ni kweli nilikuwa nasikiaga tu kuhusu upofu kumbe dogo lilikukuta jambo 🤣 sema yote kwa yote bora umepata akili umeacha
Ni kweli, maana kila kifo lazima kiwe na sababu, kwahyo tukiacha pombe tutapingana na nature(ya vifo vinavyosababishwa na pombe)Pombe zitakuua hakika
Walevi huwa tunavijimaneno ya kujifariji sana 😁😁Ni kweli, maana kila kifo lazima kiwe na sababu, kwahyo tukiacha pombe tutapingana na nature(ya vifo vinavyosababishwa na pombe)
Walevi huwa tunavijimaneno ya kujifariji sana