Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

Acha pombe, boresha mwili wako.
 
Kafanye check up,umeshaua figo hizo zishaanza kufeli
 
Mimi valuu zimenishinda kabisa, tumbo lazima lifanye reaction kama pilipili. In fact industry ya vilevi imevamiwa
 
Walevi huwa tunavijimaneno ya kujifariji sana 😁😁
Hua ni wabishi!...
Kuna mwenzake huku ananyooka alishauriwa kitambo aachane na hayo Mambo akawa analeta ujuaji,sasa figo zimefeli ana vimba miguu,uso.

Sasa anaanza kusumbua Ndugu na Wachungaji aombewe apone.

Majuto Mjukuu
 
Kunyweni vitu kama hivi
 

Attachments

  • 17487697129484467732991856713832.jpg
    274.7 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…