mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
- Thread starter
-
- #81
hii kweli ni ishu sikatai😅Kama hii misimamo yako ya u atheist ni mpaka nyumbani lazima mzazi wa kiafrika avurugwe.
Mzazi wa kiafrika akitajie Mungu halafu umwambie dhibitisha kama huyo Mungu yupo lazima mgombane
Ahahhaha kuna siku aliwai kusema anavuta bangi hapa hapa je kuna Mzazi ambae anapenda kuona mwanae anavuta bangi?Kama hii misimamo yako ya u atheist ni mpaka nyumbani lazima mzazi wa kiafrika avurugwe.
Mzazi wa kiafrika akitajie Mungu halafu umwambie dhibitisha kama huyo Mungu yupo lazima mgombane
Huku kwetu ndio tunajali sana wazazi hata kama wanatukosea, tunajirudi kiimani na kiutamaduni kwamba mkubwa hakosei.Siku ukimpoteza huyo mzazi wako ndio utaijua thamani yake,but itakua too late,
Tatizo lako unataka kushindana na mzazi wako,
Kuzozana nae ina maana kila mmoja kati yenu anajiona yupo right ila wewe ndio ulitakiwa umsikilize mzazi wako,wala usijifanye mjuaji mbele yake,
Hata kama atakwambia "Tembo anaweza kuruka angani" wewe mkubalie tu kua yupo sahihi,hutogombana nae tena na huo ndio utakua mwisho.
Enhee nielezee vizuri.hii kweli ni ishu sikatai😅
nmeamini ulichokisema, sema tabia yake ya kishamba ni vile nayeye ni mshamba na hachekwiUnaona unaambiwa ukweli utaki Half american umeamini nachosema lini nimekunyooshea kidole?
hamna😅 nimemuambia juu juu tu hajacomment chochoteEnhee nielezee vizuri.
Unampa mama wa watu zile.za Kiranga sio?🤣
How kwahiyo unahisi unaonewa? Unahisi akupendi? Kuna vitu bado unaficha ujataka kuweka wazi hapa unaogopa unajaribu kuonyesha ubaya wa mama yako tu mimi siwez kukutetea mpaka uwe open1. sijawahi kubishana nae, akigomba hua nakimbia
2. sijawahi kumtukana
3. nikiwa nyumbani nakua mpole
ndio maana nkasema hii ishu ni ya kihisia zaidi mengine hua tunayamaliza
Tuna msaidiaje mpwa wako sasanmeamini ulichokisema, sema tabia yake ya kishamba ni vile nayeye ni mshamba na hachekwi
sijasema yeye ni mbaya, nimesema yaani nimepoteza mazoea nae sijiskii vizuri kukaa nyumbani, najua ni vibaya najaribu kuzuia hali ila nashindwaHow kwahiyo unahisi unaonewa? Unahisi akupendi? Kuna vitu bado unaficha ujataka kuweka wazi hapa unaogopa unajaribu kuonyesha ubaya wa mama yako tu mimi siwez kukutetea mpaka uwe open
aache kwanza bangi na aanze kwenda ibada bila kupigiwa keleleTuna msaidiaje mpwa wako sasa
Ngoja Kiranga aje🤣Kama hii misimamo yako ya u atheist ni mpaka nyumbani lazima mzazi wa kiafrika avurugwe.
Mzazi wa kiafrika akitajie Mungu halafu umwambie dhibitisha kama huyo Mungu yupo lazima mgombane
mshamba_hachekwi bado ujaelezea kiini cha tatizo hapa naona kama unaelezea vizaliwa vya tatizo real problem ujataka.kulielezeasijasema yeye ni mbaya, nimesema yaani nimepoteza mazoea nae sijiskii vizuri kukaa nyumbani, najua ni vibaya najaribu kuzuia hali ila nashindwa
Huyu dogo mi nampenda ila hata mi ningekua mama yake lazima ningekua nqmbananisha sana.Ahahhaha kuna siku aliwai kusema anavuta bangi hapa hapa je kuna Mzazi ambae anapenda kuona mwanae anavuta bangi?
vitu vingi tunatofautiana mtazamomshamba_hachekwi bado ujaelezea kiini cha tatizo hapa naona kama unaelezea vizaliwa vya tatizo real problem ujataka.kulielezea
Sijui kama bangi aliacha ila kuna vitu anatakiwa kuviacha kabisa yaani awe anavisikia tu hasa bangi mtu akivuta anajiona yeye ndio.yeyeaache kwanza bangi na aanze kwenda ibada bila kupigiwa kelele
Kama vipi?vitu vingi tunatofautiana mtazamo
Kumbe mnamjua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu dogo mi nampenda ila hata mi ningekua mama yake lazima ningekua nqmbananisha sana.
Imagine bangi.
Ni atheist halafu kuna sehemu niliona kaandika eti yeye kwenye mizagamuano haoni shida kushikwa popote.
Ukute mzazi wake ana stress keshaona mwanae hayuko sawa.Huyu nae akirekebishwa anaona anafuatiliwa maisha yake.
Na hapo ndio Baraka zake zitaendelea kufungwa..Kuna shida ya kiroho hapo